Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndooo kibriiiiiiMajbu yapi??wakati tayali ameshazjua fitina zenu,,unataka nimjbu nn il hali anajua fika mmeandaa zengwe nipigwe chini ww na binamu
Madame ameshasema,,,hatuachani ng'o
Ndooo kibriiiiiiMajbu yapi??wakati tayali ameshazjua fitina zenu,,unataka nimjbu nn il hali anajua fika mmeandaa zengwe nipigwe chini ww na binamu
Madame ameshasema,,,hatuachani ng'o
Nmependa jinsi unavyowauliza maswali,,il hali hawana majbu ya uhakika,,tena unawauliza kwa kujihami kabsa






KwemaaaNakusalimu pia
Za siku..
Nipoooo hapaa naandaaa list ya mjomba
Sawa love.Eeh sipendi fitna mie
Sawa. Nimepita kuwasalimuKwemaaa
Sawasawa binamuAmen binamu, kunywa kinywaji chochote kwa pesa yako. Yaani natamani hata nikutumie hela lakini ndio hivyo wanajeshi wahasibu hawajataka kutulipa
Tatizo la ABJ hana Kabisa mashetani ya kupenda hela, yaani ananipa sana mawazo sijui itakuwaje sasa nikilipwa hela zangu na zile za kuokota Mo

Mambo Tumoo
Nipoooo hapaa naandaaa list ya mjomba
jibu kwa ajili angu
.....na wote tuseme Na Iwe Hivyo. Anko, salamu nyingi toka kwa mke wa mjumbe, anataka umuhakikishie kabisa kuwa akiachika utakaa naye. Me nilimshauri tu kuwa ni ngumu sana kumdhamini mmasai.
Yeye ni nomad, hatulii, akisikia Tanga kuna malisho yamechipua anaenda, akisikia mvua zinanyesha Matombo basi hata viatu havai.

