Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa heshima ya obe na tuseme ni vyema na haki ukaongezaaa yule wa nyuma ya baa
.....na wote tuseme Na Iwe Hivyo. Anko, salamu nyingi toka kwa mke wa mjumbe, anataka umuhakikishie kabisa kuwa akiachika utakaa naye. Me nilimshauri tu kuwa ni ngumu sana kumdhamini mmasai.
Yeye ni nomad, hatulii, akisikia Tanga kuna malisho yamechipua anaenda, akisikia mvua zinanyesha Matombo basi hata viatu havai.
 
Binamuuu heshima yakoo kwanzaaaaa...huyooo anapendaaaa pesa utafikir alizaliwaa nazoo na kauli mbiu yetu unaijuaaaa...no pesa bt mzgo unatoaaa kama mkataba sio wa kudumu
.....na wote tuseme Na Iwe Hivyo. Anko, salamu nyingi toka kwa mke wa mjumbe, anataka umuhakikishie kabisa kuwa akiachika utakaa naye. Me nilimshauri tu kuwa ni ngumu sana kumdhamini mmasai.
Yeye ni nomad, hatulii, akisikia Tanga kuna malisho yamechipua anaenda, akisikia mvua zinanyesha Matombo basi hata viatu havai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom