Makapuku Forum

Makapuku Forum

.....na wote tuseme Na Iwe Hivyo. Anko, salamu nyingi toka kwa mke wa mjumbe, anataka umuhakikishie kabisa kuwa akiachika utakaa naye. Me nilimshauri tu kuwa ni ngumu sana kumdhamini mmasai.
Yeye ni nomad, hatulii, akisikia Tanga kuna malisho yamechipua anaenda, akisikia mvua zinanyesha Matombo basi hata viatu havai.
Hahahahha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom