Sisi tunaita season,,zile zimewekwa maneno ya kiswahili na dj afro
Naifahamu shangazi,,sema siipendi na sijawahi kuitizama hata mara moja baada ya kuona maudhui yake kwenye trela
Kuna nyingine pia ipo kama empire,inaitwa STAR pamoja na Dynasty,,,kama umeipenda empire hata hz pia utazpenda sana.