Acheni Kutoka Kimapenzi na Wazee Eti Kisa Wana Hela, Nyie Tokeni Na sisi Vijana Japo Hatuna Hela, Ila Kumbukeni Hatuwezi kutokua na Hela Milele yote.. Tutazipata Tu.
Acheni Kutoka Kimapenzi na Wazee Eti Kisa Wana Hela, Nyie Tokeni Na sisi Vijana Japo Hatuna Hela, Ila Kumbukeni Hatuwezi kutokua na Hela Milele yote.. Tutazipata Tu.
...umeanza kufanya ramli chonganishi. Kwa karibu mwaka mzima sasa nasema hela hatujalipwa, korosho wananunua wanajeshi, wametuambia tusubiri tutalipwa. Mimi ni nani nikadai kwa nguvu. Jamani hebu muwe na huruma kidogo basi