...wanaume wa Daslamu kwa jwisi ya miwa hamjambo.
Huyu anaenda kuuza korosho aachwe afanye anavyotaka, nchi huru hii
Twende babe tukaudai
....njooni taratibu, hela za korosho ni lazima uwe na shamba, sasa njooni mdai mtaji wenu wakati hamjahakikiwa, hela zina namba hizi. Niachieni zote mtalipwa mbinguni
Taratibuu huyo binamu wanguu kabisaa
Wewe ndiyo una mke wake,kwa hiyo wewe ndiyo adui yake namba moja halafu adui yake namba mbili ni jiwe![/QUOTE
....sisi ni ndugu, hapa tunakuona wewe ndo adui yetu, ngoja nimalize shida zangu hapa Masasi nirudi tukae kikao cha kifamilia kujadili maneno yako
Hahahahashangazi hii skukuu uloianza leo unatuvuruga ujue
Binamu hizi habari za koroshow ni kweli serikali imeshindwa kuwalipa imekubali wafanyabiashara wanunue...wanaume wa Daslamu kwa jwisi ya miwa hamjambo.
Huyu anaenda kuuza korosho aachwe afanye anavyotaka, nchi huru hii
HahahahahH ahahhaha, mama hajambo sana, anawasalimia wote na kukupongeza wewe kwa kunikataa vinginevyo hizi zawadi anazopata kila siku asingeziona. Anakupa pole Sana.
Anko hajui na hiyo sayari mliyoko andaa kidumu, msimu wa sikukuu anko huwa kama karumekenge aliyekataa kwenda shule, usije kutulilia humu
Binamu apambane na hali yakeee na mahubahili yake
Nitakeee radhiii naanzajeee kukulwa kulivyo kuwa kutamu....ukute hamna, jiwe kaamua kuwa msagaji.
Kanunua mashine ya kusaga unga
....hawajui kabisa, wengi walidhani ulipomchukua yule mwanamke wangu wa Arusha tungekosana kumbe ndo tukaamua kufanya fyucharingi.
Ila yule mdada alinilalamikia kuwa ulimuambukiza UTI
Hahahaha we mbahili bwana...Mama yenu akisikia haya maneno ya ubahili atawashangaa sana. Juzi tu nilikuwa dar, nikampeleka pale stand ya Manyanya kununua zile shikamaziwa za mtumba
....ukute hamna, jiwe kaamua kuwa msagaji.
Kanunua mashine ya kusaga unga
Asante mkuu ila hujajib swalPole
Kwaniii kuna habari ganiiiiNitakeee radhiii naanzajeee kukulwa kulivyo kuwa kutamu
Hapa nilipo Heineken elf 7500 tuma hela faster
Swali gani umeulizaAsante mkuu ila hujajib swal
Hela inalipwa na chupa unaacha cha ubahili ww si ungeshakimbia....heh, 7500 hela unatoa kabisa, au unaondoka na chupa ukauze
Hela inalipwa na chupa unaacha cha ubahili ww si ungeshakimbia