Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,363
- 95,755
Hahahaha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ya kupangiwa kazi nyingine ni kali sana!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ya kupangiwa kazi nyingine ni kali sana!!
Mm ntakuwa neutralRamli chonganishi mambo?[emoji41][emoji41][emoji41]
ha!haaa!haaaaaaa!!!.....Ramli changanishi wewe ni kiboko![emoji23]Huyu ndo alikuwa mmilikii wa jiwe ?
Kageukaa memb
Wewe ni ramli chonganishi![emoji847][emoji847][emoji847]Mm ntakuwa neutral
Nmeulizaaa kwa mfano hai ... kama naweza kujibiwaa sio mbaya nijue kageukaa membe auha!haaa!haaaaaaa!!!.....Ramli changanishi wewe ni kiboko![emoji23]
Habar za hapa ndugu zangu!!
Polen na majukumu
Poleni wagonjwa wote Mungu yu pamoja nanyi,kilio chenu anakisia!
Jamani mm tena ?Wewe ni ramli chonganishi![emoji847][emoji847][emoji847]
Huyu ndo alikuwa mmilikii wa jiwe ?
Kageukaa memb
Hela inalipwa na chupa unaacha cha ubahili ww si ungeshakimbia
Kabisa!Kuna muda ulitaka kunichonganisha na shangazi yangu mpendwa!!Jamani mm tena ?
Nmemsalimia,,naona kanikaushia,,,Jiwe anakutafuta
Kama amekukaushia jiandae kutenguliwa mkuu!![emoji16][emoji16][emoji16]Nmemsalimia,,naona kanikaushia,,,
Kwan kuna teuzi nyingine imefanyika leo?
Nmeshajiandaa kisaikolojia mkuu,,hapa nasubiri lolote litakalo kuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama amekukaushia jiandae kutenguliwa mkuu!![emoji16][emoji16][emoji16]
Kama amekukaushia jiandae kutenguliwa mkuu!![emoji16][emoji16][emoji16]
Nmemsalimia,,naona kanikaushia,,,
Kwan kuna teuzi nyingine imefanyika leo?
ila usihofu siku hizi kuna kupangiwa kazi nyingine ukitenguliwa!Nmeshajiandaa kisaikolojia mkuu,,hapa nasubiri lolote litakalo kuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He heHivii badooo hujabandukaaa hapoo kwelii?
Baba wawili huyo jamaaniHahahaha
Hahahaha jiwe hatabiriki mkuuHebu tuleweni kwanza