Huyo mtu(r) anatumikia adhabu humu ya:
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE
Tafadhali achana nae(kosa lake lonajulikana)
No shobo
No ufagio
No superstar
Tulishalijadili hivyo potezea
............
Hahahaa yaani, siku nyingne mtu akaniuliza bibi na babu hawajambo, kumbe mm nikamjibu hawajambi, akanijibu ila wanafanya nn? Ikabidi niangalie text niliomtumia. Nilicheka sana