Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,444
Kuachwa kusikieni tu wadau, yaani hapa ninasikiliza gospel kama nimetoka kubatizwa, nimeanza na David G, yule Prospa Ochimana, Pastor ushindi, Mukubwa, Cece Winnans, Kikosi Kazi, Abihud Misholi, ila tangu atokwe na mapepo sijasikiliza nyimbo zake
Hahahhah teua tengua imesababisha nimenuniwa mm na mjomba wao watuHahahaha kasema nikae kmya,,,anajua yy kwann kanteua,,,mambo ya jiwe haya
Salama ndugu yangu,,habar za kwako?
Weekend vp huko
Inapendeza sana binamu,,,enjoy aiseeWikend imeanza poa kabisa binamu, kijimvua tu kinachuruzika ila niko mahali salama kabisa naangusha moja moja
Nikisema niulize any weekend plan kwa wadau wa humu tutatchoshana kwa majibu tofauti na wengine tunaweza ishia kuomba assist ikawa tabu kulipa. Ila itoshe tu kusema ninakutakia wikend njema wewe mdau na kwa maana hiyo hebu burudika kwa songi hili tamu lililoombwa na marybaby kwa ajili ya anko wangu bwana nyumbanyingikingimswatifisimaji ndugu yangu kabisa Lyon Lee . Tuwatakie confuckulation wapenzi hawa wapya.
NB: Confuckuration isomeke congratulation, simu yangu ni mpya (nimenunua baada ya kuwa na uhakika wa kulipwa hela za korosho) sasa sijaizoea vizuri
nyumbanyingikingmswatiNikisema niulize any weekend plan kwa wadau wa humu tutatchoshana kwa majibu tofauti na wengine tunaweza ishia kuomba assist ikawa tabu kulipa. Ila itoshe tu kusema ninakutakia wikend njema wewe mdau na kwa maana hiyo hebu burudika kwa songi hili tamu lililoombwa na marybaby kwa ajili ya anko wangu bwana nyumbanyingikingimswatifisimaji ndugu yangu kabisa Lyon Lee . Tuwatakie confuckulation wapenzi hawa wapya.
NB: Confuckuration isomeke congratulation, simu yangu ni mpya (nimenunua baada ya kuwa na uhakika wa kulipwa hela za korosho) sasa sijaizoea vizuri
Kuachwa kusikieni tu wadau, yaani hapa ninasikiliza gospel kama nimetoka kubatizwa, nimeanza na David G, yule Prospa Ochimana, Pastor ushindi, Mukubwa, Cece Winnans, Kikosi Kazi, Abihud Misholi, ila tangu atokwe na mapepo sijasikiliza nyimbo zake
Kuachwa kusikieni tu wadau, yaani hapa ninasikiliza gospel kama nimetoka kubatizwa, nimeanza na David G, yule Prospa Ochimana, Pastor ushindi, Mukubwa, Cece Winnans, Kikosi Kazi, Abihud Misholi, ila tangu atokwe na mapepo sijasikiliza nyimbo zake
Hahaha mjomba mbona simuoni kama kanuna aiseeHahahhah teua tengua imesababisha nimenuniwa mm na mjomba wao watu
ndio huyo bebe umentaftia au umeniita tu niitke abee
ndio huyo bebe umentaftia au umeniita tu niitke abee
Ndio huyu Bebe wako baba wawili bae huyo kazi kwakoHahaha mjomba mbona simuoni kama kanuna aisee
Hahaha mjomba mbona simuoni kama kanuna aisee
Ha ha ha kwa pesa yangu tena binamu,,??
Nimeshajua nn tatzo binamu, marybaby anahaki ya kusepa tu
ngoja nijitahidi kumzoea lakini why makapuku??? Kwengine hujapataNdio huyu Bebe wako baba wawili bae huyo kazi kwako
ngoja nijitahidi kumzoea lakini why makapuku??? Kwengine hujapata