Mgeni gani huyo wa 2015Mgeni
He heHahahaha, nimegundua wewe hupendi sana utani,hasa wa aina hii
Na shangazi mwenyewena nani?
Hahaha tumstiri ndg yetu
...jamani, hebu mniache nipumue, nimeachika mwenzenu na sasa naangalia nitatoka vipi, mapenzi yote nimehamishia kwa mama yenu
Povu hilo tufulie nguo za wikiendiHivi mjomba akee kwani alikuwa serious au mm najua matani jamani sio kwa povu alilotoa juu
Sasa hivi yupo single huoni alitaka kurudi kwa tetra hawezi niangushajiandae kisaikolojia atakunyeshea mvua sio ya nchi hii
Hahahaha, dah
Maramamae walahi ,acha tu niendelee kujilewea ,si kwa style hii
Yaani mpk najionea huruma, huu Uzi utanishinda huko mbele ,hapa nikujipa likizo tu ,sijui mikosi gani ninayo
Najua walimwengu na wafitini,viroho vya korosho, vimepitisha maneno yao
Haya bana ,niwaage wajomba zangu ,bye bye
Kwa mangi Shayo moja hii,kutoa uchungu
Ukiwa tungi utaharibu mjombaHahahaha
Nitakua mnyonge ,Rafiki
Nikiwa tungi nitakua nakuja kusalimia
Bhasiiii sahauu kupelekwaaaaa na namwambiaa binamu akusahulisheee kwa jiwee...unamjuaa unamchezeaa
Sasa binamu yangu pesa zote zile za koroshow kapeleka wapi??kama hata tuishien tumemlipia pale kwa ras simba,,
Mm jana najua jiwe kaingia nae makapuku nikaomba na no kumbe wananisema kwa code
Mjomba anamiliki jiwe
...jamani, hebu mniache nipumue, nimeachika mwenzenu na sasa naangalia nitatoka vipi, mapenzi yote nimehamishia kwa mama yenu
Bahati mbaya sn umechelewa,Baada ya uteuzi tuu mambo yakawa fresh ss nakunywa juice ya malimao(usiniulize kwa nn)