Makapuku Forum

Aisee!
 
Hahahaa binamu,,umechanganya madesa
 
...hapana binamu, sijachanganya madesa, yaani kila nikikuangalia kwa jicho la tatu naona kama una agenda ya siri na una maslahi yaliyojificha kwa marybaby , jamani niachieni huyu mrembo, kuna kuzeeka mjue na mafao yamepunguzwa
Hahahaha hapana binamu,wala sina agenda ya siri,,mwenyew umeona jinsi nilivyokupigania na dada angu Tumosa
Siku zote tupo hapa kumbe husemi kama upo honeymoon na ABJ had yy leo ndio amesema,,huon kuwa ww ndio una agenda ya siri
 
ha ahahaa, habri za honeymoon ni kama mambo ya chumbani, mimi kwa kweli ni Tumosa tu ndo namuamini, tuliwahi kushonesha sare kwenda kigamboni ila safari nikapigwa fina nikapigwa kibuti.
Ujue nini, nilipoona mmenilipia english course niliamini mnania njema na mimi kumbe hamkutaka niwe karibu.

Shwari lakini mdau
 
Reactions: Lee
Jtatu njema wadau na FYI hili ndo juma la mwisho kabla hatujauanza mwezi wa kina Noel na Noela huku nyimbo za Baba Gaston zikitamba.

Nawapenda wadau wa Jukwaa hili na ninyi ni sababu tosha kuwaita ndugu/marafiki ambao hatujakutana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…