marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Naskia kizuri hula na nduguyoMm wangu abj kashatekwa na binamu
Naskia kizuri hula na nduguyoMm wangu abj kashatekwa na binamu
Asante jamani kwa utambulishoEwaaaaaaa
Hahaha ebu jikagueNakupaaataaa vzuriii alafu ujue mm ndo nilianza kumuona mtoto mary binamu sijuii aliniwahii wapiii
Sijui nakoseaa wapiiii
Hahahahahahah we naeeeeeeeerPambana na binamu obe Mary amejitoa amekuachia anaenda kwa lyon
Ndiyo maana ni shangazi mkuu,yaani huwa anapigania watu ili wale mema ya nchi hii![emoji23][emoji23][emoji23] .......She will live longer in my mind!!Nazidiiii kukupendaaaaaa Mungu azidiii kukuwekaaa
Pambana na binamu obe Mary amejitoa amekuachia anaenda kwa lyon
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeNakupaaataaa vzuriii alafu ujue mm ndo nilianza kumuona mtoto mary binamu sijuii aliniwahii wapiii
Sijui nakoseaa wapiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana naeee nenda kwa Lyon sio mbahili ana mahela
HapanaAiseee.huu mchocheo sio wa bure.
Ahahahahhaah jamaniNdiyo maana ni shangazi mkuu,yaani huwa anapigania watu ili wapate mema ya nchi hii![emoji23][emoji23][emoji23] .......She will live longer in my mind!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binamu ndo anawajuaa wagangaaa mpaka wanaopunguzaa nguvu za kike
Ndo vileeeeeHahahahahahah we naeeeeeeeer
Mvumilie dada wa babaShangazi ni kisu kinachokata pande zote mbili![emoji30][emoji30][emoji30]
Tulizana...Si mlikuwa honeymoon nyie
Halifahamu hilo
[emoji41][emoji41]Mfyuuuuuu
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Hahahhaha ameen atuweke sote
Eeeenh chelewa chelewa utamkuta mwana si wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo sikuambiwa toka mwnzo nikajiweka mwenyewe,kumbe mwenye Mali yake upoHahahahahh mi napenda uke wenza buana