marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Duh.Rafiki nawe upo??Ndiyo maana ni shangazi mkuu,yaani huwa anapigania watu ili wale mema ya nchi hii!.......She will live longer in my mind!!
Duh.Rafiki nawe upo??Ndiyo maana ni shangazi mkuu,yaani huwa anapigania watu ili wale mema ya nchi hii!.......She will live longer in my mind!!
Kumuona mtu mzima mama analia ujue kuna jamboHeee kwani unalia? ?
Hahahahha ww umejiandaa kisaikolojiaa kabisaa![]()
![]()
binamu hakosagi warembo Kwahiyo hilo halimpi shida
Ila.?Hapana
Halafu jana alikuwepo hapaHahahahahahah Nani kasema akati kina@hearly wapo
Binam zake nawajua mm walikua wanamfundisha kiinglishi
hata Mimi ni binamu yake sema upendo wake kwangu ulipitiliza
Ila.?









Undugu wa mashakaSio vyteee
WoyooooooooNakupenda
Jamani nimemmisi mwee, sema Yule nae anamaneno mengi ndo shida huwezi jua la kweli ni lipiHalafu jana alikuwepo hapa
ChafyaaaaNakupenda
Ila unajua ukimzoea mtu hakupi shida kabisa unaishi nae hivyohivyoJamani nimemmisi mwee, sema Yule nae anamaneno mengi ndo shida huwezi jua la kweli ni lipi
mida ya wanga
Woyoooooooo
HahahaHapana mwaya mi mwenyewe ni kinda kama nilivyotambulishwa
Hahahahahahah sasa mi staki stress za kishambaHahahahha ww umejiandaa kisaikolojiaa kabisaa
Lambaaa tangawiziChafyaaaa