Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Ewaaaaaaa@ABJ nakusalimia mimi krb sana nipo na shngazi wajomba na Binam zake
Ewaaaaaaa@ABJ nakusalimia mimi krb sana nipo na shngazi wajomba na Binam zake
Kisa cha kujanzwa ktk daladala
[emoji38][emoji38][emoji38] mie nasubiri anko wako ajeHusna hajaja badoo...mama mchuchu naye anasoma radaaaa...
Nikaangalie uwezekano wa kupandishwa cheoKufanya nn tena jamani
Makapuku,we upo wapi.?Weekend wap mpo
[emoji19][emoji19][emoji19]Waacheee wanengenekweeee
Achana naeee nenda kwa Lyon sio mbahili ana mahelaNikaangalie uwezekano wa kupandishwa cheo
HahahhahahahNaombaaa kopaaa la pongeziiiii
Hapo sawa Lyon mchukue binti huyu ale mema ya nchi
Shangazi yako msumeno heheShangazi tatizo siku hizi umekuwa ramli chonganishi,mimi sijampeleka rafiki yangu china ili anilipe shukrani yeyote!!
Hapo chachaUnaanzajeee kuumiaa
[emoji38][emoji38][emoji38] mie nasubiri anko wako aje
Achana naeee nenda kwa Lyon sio mbahili ana mahela
[emoji15][emoji15]Shangazi eti umesema.?Najiuliza ukijitoa inabidi urudi kwa Lyon Lee sababu huyo huyo abj alikuwa wa Lyon Lee ujue mm nakushauru rudi kwa lyon
Shangazi ni kisu kinachokata pande zote mbili![emoji30][emoji30][emoji30]Shangazi yako msumeno hehe
[emoji23][emoji23]Khaaa toto kukutetea kote huko jamani
Taratibuuuu bhasiiiiHahahhahahah