Ayo ndo maneno ngojaa aje marybaby make ndo anamuweka binamu mjini make wakiuza korosho atamrudishiaa sasa kama unakula pesa ya mwanamke mwenzio ndo tujuee ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo unanitishia kwa taarifa yako anko wako yupo kiganjani hafurukuti,kondaa??hahahahahahah mfyuuuu
Hahahaha, shangazi yenu huyu bana we acha tuHahahahahahah mbona shunie kakubali afu mnakwepana kwepana hapa
Nasemwa mm hapo nitakukombea hela zako ujueHahahaha, nani wakunikombea hela humu? Na wote humu hamtaki mla ugimbi
[emoji23][emoji23]mama hakua hta na muda wa kukandwa maji,, sembuse anyonyeshwe[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii. Hamna bana nabisha ni uvivu tu wa wazazi. Mtoto ni mtoto hana cha usasa na uzamani basi tu mazingira anayojikuta nayo yanampelekesha,just imagine mtoto wa gigy money yule huwez sema kana njaa ndo maana kanalishwa mapema bali mama mtu hana muda wa kukalisha tako kunyonyesha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] masikini...malizia sasa kilichofuataHahahaha, ndugu yangu baada ya kumpa Mungu na Roho mtakatifu, nikaona nyota iko kwa shangazi Shunie ,sasa kilichofuata mmmh
Acha niendelee na ugimbi nadhani ndio chaguo sahihi
WoyoooooooHahahaha, sijajitoa ,uhai Wangu humu ni wewe shangazi yao
Toto angu BehaviouristToto gani anti [emoji15][emoji15]
Nani anakwepa jamaniHahahahahahah mbona shunie kakubali afu mnakwepana kwepana hapa
Jamaniii
Uko vzurii huku toto kulee mzee ...kojoooooo juu ya kojoooooooToto angu Behaviourist
[emoji1] [emoji1] [emoji1] waaaow kumbe sahivi kakubali kuitwa shangaziHahaHahahaha, shangazi yenu huyu bana we acha tu
Ebu acha wivu jamaniAyo ndo maneno ngojaa aje marybaby make ndo anamuweka binamu mjini make wakiuza korosho atamrudishiaa sasa kama unakula pesa ya mwanamke mwenzio ndo tujuee ....
Daladala la binamu lishajazwa kitambo na wakina mama ashura ...wauza vtumbua nyie inabidii muwe makondakta marybaby alikubalii
Numbii sio uvivu tena watoto wa kiume wana njaa mnooo nina jirani yangu hapa ana mtoto wa kiume akimnyonyesha maziwa mtoto hashibi ameanza kunywesha uji na huyo dada ni mama tu wa nyumbani
Nasemwa mm hapo nitakukombea hela zako ujue
[emoji23][emoji23][emoji23]shangazi taratibu bas kwa toto gani ss.?Toto angu Behaviourist
Na tuseme AmeeenNia ninayo
Sababu ninayo
Uwezo ninayo
Tatizo walimwengu sasa
Ila kwa uwezo wa Roho mtakatifu ,nitafanikiwa,hahahaha
@Marybaby ni mcute wa nan sema ukweliiiEbu acha wivu jamani
Weeeeh huyo mtoto wanguUko vzurii huku toto kulee mzee ...kojoooooo juu ya kojooooooo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] waaaow kumbe sahivi kakubali kuitwa shangazi