Makapuku Forum

Kuna sababu nyingi lakini kubwa kuliko ni uvivu na kuogopa kuchuja urembo eti maziwa yatalala vibaya.

Wapo wanaosema kazi nyingi ila mama mwenye kujitambua hata kama ana ajira busy huwa anakumbuka kutenga muda wa mwanae kunyonya.

Wapo wanaoachisha watoto kunyonya ili tu bata zisimpite,ofa za bure etc
Wachache sn waliobaki wakifata hili swala la mtt aanze kula akiwa ametimia miezi 6,
Sijui ni mbio za maisha au ni uvivu wa kunyonyesha. ? Au ndio mambo ya ukinyonyesha urembo bc.?
Asante Numbisa
 
Asantee Numbisa
 
Watoto wa sasa hivi walivyokuwa na njaa wanaanza kulishwa miezi miwili tu
 
jamaniiii. Hamna bana nabisha ni uvivu tu wa wazazi. Mtoto ni mtoto hana cha usasa na uzamani basi tu mazingira anayojikuta nayo yanampelekesha,just imagine mtoto wa gigy money yule huwez sema kana njaa ndo maana kanalishwa mapema bali mama mtu hana muda wa kukalisha tako kunyonyesha.
Watoto wa sasa hivi walivyokuwa na njaa wanaanza kulishwa miezi miwili tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…