Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Kwendraaa ukoUnaanzajeee kubeba kopoo na kusubiriaaa foleniiii mcutee kama wewe ....
Kwendraaa ukoUnaanzajeee kubeba kopoo na kusubiriaaa foleniiii mcutee kama wewe ....
Jina langu la mwanzo lipi?? Sijaelewa
Nalala lakini kwa shida.....
Eti anamuaga tumosa tuHahahaaa inawezekana
Washakuwaa kaka na dada
Haahahhaa nimecheka na sikwambiiWewe ni naniiii etiiiii jina lako la mwanzo
Username kabla ya kubadlishaa
Hahhahahahha kwahiyo ngabu haujamjuaNani?
Hata mi kama namfahamu vile na yeye kama ananifahamu vile....
Nahisi atakuwa nanii....
Hahhahah ninayo lakini chura wangu ananitosha mwenyewe nikivaa kama shekheNa maderaa unayo Shualina?
Akakague pm ukoNani?? Unataka unikabe hapa hunifahamu wakati tulikuwa tunashinda pm wote...
Usichekeee
Nambieeeee bhasiiiiiHaahahhaa nimecheka na sikwambii
Samahan ankolii,,,mambo ya binamu hayo alitaka nitie nenoUnatuchanganyiziaa habar ...tushamalizana na hizooo ...uoniii mrembo shangaz yenu
Hahaha ndio shangaziHatakii mambo ya saa 12 eenh
Kojoooooooo linakojozwaaaaaaa haswaaaaaaaaaa....
Binamu kapoteaa sijuii kakimbiaaa kwa mangii ata sijui
Akakague pm uko