Makapuku Forum

Hahahaa
 
Mama mchungajii kaniitaa sasa sijajuaa umepuyangaaa nn

...anko, basi haya mambo yaishe, na wewe mjomba wangu huna dogo!! Kule juu nilikuwa natania tu si unajua leo furahiday, halafu simu sikuwa nayo mimi. Ninaichaji kwa huyu muuza chipsi nimekuja kulipa lile deni ulilomwambia Mwajei ale utalipa.
Halafu mama Mchungaji anakusalimia sana, anasema umekuwa adimu siku hizi, nikamwambia umekuja Mtwara kwenye fiesta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…