Hahahah binamu pesa yote hyo kwa ajiri ya twisheni au tuishieni?Tumosa na ningendako nawatakia maandalizi mazuri ya wikend. Ndugu yenu mimi sijambo na ninafuatlia kwa umakini kozi ya kiingilishi mliyonilipia, ila ticheri kasema twisheni itanisaidia zaidi, gharama ni elfu 41 mia tano tu, mnipe mapema leo maana wikend imekaribia
Shangazi kwema?Magazeti na makapuku inawajia na shunie shunie shangazi yao watu
Kwahiyo binamu umewaona tumosa na kaka akee baba wawili tu sisi wengine sio watu humu eenh
Mh.huishiwi kujitetea.
Sawa wacha nikuwaze mpk niugue nikufe
Wakazi
......duh, bakora hadi Ijumaa si mchezo, wacha niendelee na miziki yangu ya kicongo
Hadi wewe unamjua huyu dogo 69 tekashi??Rappa Tekashi 6ix9ine amekamatwa na maafisa wa kupambana na uuzaji wa sigara na vileo kwa magendo wa jimbo la New York kwa tuhuma za kumiliki silaha bila kibali na kufanya biashara ya magendo.
Rappa huyo mwenye umri wa miaka 22 ambaye jina lake rasmi ni Daniel Hernandez anakabiliwa na kifungo kirefu gerezani baada ya kukiuka masharti ya kifungo chake cha nyumbaView attachment 943589
Kiasi chake namjua anavyojitoa sanaHadi wewe unamjua huyu dogo 69 tekashi??