Tayali shangazi,,sasa hv binamh yetu hata kiswahili kasahau,,ni mwendo wa kuzungumza kilingara tu,,anataka awe anawatunza wale marapa wa bendi wawe wanamrusha "wapi pedeshee
Obe na kati ya mtwara na lindi, hlf wanamalizia kumrusha
marybaby
Koroshow Oyeeeee