Si ana yule mganga hua anajitapa nae,?hawezi tusaidia akatoa .?
Nipo shwari mm hofu kwako tuAhsante mnoo vipi uko shwari?
HahahhahahahahHahahaha, nimeiona ,asiogope ,inaingia kdg kdg
Kheeeeee...yule ni mganga wa jadi, anasaidia kutegua tego, kutoa limbwata, kufukuza wachawi na kuroga unaowachukia hasa bosi wako na pia anarejesha sehemu nyeti kuwa mpya kabisa na kurejesha mapenzi lakini dawa ninayoifuataga kwake ni ile kama nikikutongoza ukanikataa basi ukilala utakuwa unaniota mimi kila wakati
Sijui ndio kichaa cha pesa
Nipo shwari mm hofu kwako tu
Hahahhahahahah
Sio binamu ninayekujua...asikutishe, hela yangu ni hela yako, mimi nikipenda napenda kweli
Mjue mmebakia nyie tuu 2 mnamtetea,?shauri zenu.
Ana 48 wa kukaa na 5 wima mie nipo nanin'ginia dirishani
Mzima sana sijui wifi ukoMimi Niko shwari kabisa zaidi yako
Vp mumeo mzima?
Hawajambo dada angu,,anko zangu wazima huko??Miss u too brother akina anti hawajambo
Hahhahaha we mzee ebu punguza wiziHahahaha, kila ukifurahi nami nafurahi zaidi
...hizo habari za kuwa wapo wengi zipuuze, wanachokuambia kina Tumosa na ningendako ni cha kweli tupu, yaani wewe ukifanya kosa tu unikubali basi kila mtu atakushangaa sana
Hiko ulichonacho zaidi ya kichaa kwa binamu obe
Msafara wa kumpokea binamu yetu,,jana alikuwa biyulodechenji kubadari pesa zake alizouza koroshow
WiFi mzima yuko MasomoniMzima sana sijui wifi uko
makapuku bado mupo kumbe
...umeanza, mimi nilikuwa naona dalili nzuri lakini kila ukiandika wewe basi naanza kuona giza, hivi nilikukoseaga nini mimi? Kama ni korosho subiri serkali imesema itagawa kilo mbili kwa kila mtu, zangu mbili nitakupa wewe
Shangazi shikamoo!