Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Hahahaha, kwa Mama Manka
Weekend hii kisusio ni wapi mkuu??
Weekend hii kisusio ni wapi mkuu??
Mkuu please nielekeze kwa mama manka ni wapi hapo!... Mimi ni mdau sana wa hiyo makitu ya mazagazaga!Hahahaha, kwa Mama Manka
Naenda kutekwa tena mie kasome uko Patrick kaweka season 1 sema sasa ndio kapost tofauti tofautiHebu katekwe hukooo![]()
![]()
![]()
![]()
HahaahahNalipaa tena
Watoto wa kudowload nimekuachia mjaze ulimwengu baba wawili wewe na dada ako
Hivi anataka nikufwe na utamu wangu jamaniHapana,,siwez shangazi
Huyo mzee wa chura,,atakuwa ana sababu zake tu
Asante na kwako piaNawatakia week end njema
Kwema wewe binti wa Tanga?Asante na kwako pia
Kwema msukuma za wwKwema wewe binti wa Tanga?
Watoto wa kudowload nimekuachia mjaze ulimwengu baba wawili wewe na dada ako





Kwan shangazi,,ukifa na utam wako kuna shida hapo??Hivi anataka nikufwe na utamu wangu jamani
Asante na kwako pia
Week end iko poa baba wawili nimejilaza tu hapa vipi we uko mvua inanyesha
Weekend vp huko??
Hivi anataka nikufwe na utamu wangu jamani
Shida ipo sana baba wawili ili ukaliwe na nyenyere jamaniKwan shangazi,,ukifa na utam wako kuna shida hapo??
Niko poa kabisa mm jamani nimefurahi kukuonaNiko poa kabisa,nafurahi km uko poa Rafiki yangu kipenzi