[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nimekumiss pia na ningekuwa najua kukwambia nakupenda kwa kiinglish labda ungenielewa. Hebu niambie nisemeje kabla wafitini wangu, watu wenye roho ya korosho wanaoshangaa mimi kukutaka wewe hawajaja
Dah[emoji22] [emoji22]bado unaendelea kuharibu tuu.....eeh, yaani niemekosa kitu kimoja tu, namba yako , nikiipata basi huyu dereva wa bodaboda (ananipeleka kuangalia salio bank) nitampa simu adownload nyimbo
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahahaha, niwe Karibu na murembo km wewe
Nakupenda mm binamuKwa wale mnaotaka kwenda China Behaviourist na marybaby hakikisheni mnapata paspot size kabisa, ushauri wa aunt yangu Shunie kuhusu chura muuzingatie isije ikatokea kama yule kimada wa anko wangu Lyon Lee jina lake limenitoka kidogo maana alikuwa mweusi sana, kaenda Vietnam kufuata chura karudi bila chura anapendaga kifo cha mende tu siku hizi.
sasa burudikeni na hili songi
Tumosa nakusalimia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binamu yangu ameshindwa kizembe kweli,,angesema kwenye ukoo wetu wa mapacha,tukamchangia aisee
[emoji87] [emoji87] [emoji87]...ha hahahahhaa, kunichangia mnaweza kuweka masharti, mkataka ndani ya mwezi tu muone mimba wakati hata mwezizi hajaenda
Bibie vp mzima,bado hamjaenda chinaAnkoo..[emoji8] [emoji8] [emoji5]
Shkamoo
Mwanampotevu heshima yakoUngenifata nyumban siku ile aliyorudi bwana,ila mbona simuoni tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemuharibu huyoAfu mimi ndomnanisema natukana eeeh
Ww ndio mbaya wa binamu hutaki mwenzio afaidi hata kidogoAnaweza kuaanzaa kukuonga ata miguu ya kuku make ata ufanyajee anko hawez kukuonga zaidi ya buku 2
Mzima mimi hofu ww tuu.Bibie vp mzima,bado hamjaenda china
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]@Obe Anko anasema anapewa makopa pale pale ulipomwacha [emoji85] [emoji41]
Shangaa na ww[emoji134] alizwe vipi ss.?
Embu tuelezane mamaShangaa na ww