Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Wasiwasi tupa kule mimi ni rafiki yenu mwema mkuu!!....halafu marrybaby hana hata chura kwa hiyo atakuwa salama salimini kabisa mkuu!!....basi kama ni hivyo kamata kilaji kwa pesa yako. Dalili za wewe kuwa ndugu yangu nilianza kuona zinapotea kabisa niliposikia unakuja na marybaby safari ya China



