Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ww ndo mbaya wa binamu
Bora umekuja binamu, yaani nimechafuliwa jina hata sabuni ya fomagold haiwezi kunitakatisha. Sasa wewe ndo ndugu yangu pekee humu unayeweza kunisaidia , wengine wameniambia nipambane na hali yangu.

Nikiuza korosho tu, wewe ni wa kwanza kujua
 
Back
Top Bottom