Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Namngojaaaa
Hivi beer za shunie mlikubaliana man ikipigwa ndio unampa beer?
Manake naona man city wanatubamiza tuu
Man u akifunga au draw ...anazikosaaa nachekaaa kibishooo
Man u si kafunga ?
So mpe beer zake![]()
Mtag ajee achukue bia zake 6 plus 3 jumla 9
Niko hapa jamani Lyon ebu nitumie niende kiduka cha mango nitakutumia pichaNamngojaaaa
Salam mara moja tu jamaniHello
Khaaa ndio nn hiviNyegezi
Kumbe unapenda chura na ww
Sitakiiiiiii......vicoba vimezuiwa na BoT sasa sijui tutafanyaje. Wewe niassist tu nitakucheki inbox kukueleza nataka shngapi.
Obe kakufanya nn tena
Umefungaa ngapii ?Niko hapa jamani Lyon ebu nitumie niende kiduka cha mango nitakutumia picha
Shunie, post: 29163612, member: 381023Salam mara moja tu jamani
Tumefungwa 3 sisi tumefunga moja lakini si tumefunga piaUmefungaa ngapii ?
Mpe sasa...si amekuja ?Namngojaaaa
Mkuu salama za kila mda mm nina allergy nazo halafu ebu acha kuquote post no mbona huelewi jamaniShunie, post: 29163612, member: 381023
Sasa huu si wakati mwingine
Picha itumwe hapa hapa plizNiko hapa jamani Lyon ebu nitumie niende kiduka cha mango nitakutumia picha
Ila ni nn etiHahahaaa..
Hapana mama D
Mm mbona jana nilijipost nilivyokuwa nakunywa nitapostPicha itumwe hapa hapa pliz
Sikuona ...Mm mbona jana nilijipost nilivyokuwa nakunywa nitapost
Kwani dada ana chura?Ila ni nn eti