Hizi habari zinafaa asubuhi kabisa kabla ya kwenda job ili upate mizuka ya kazi.
Sasa ukileta saa hizi wakati nimerudi mikono mitupu unadhani mimi najisikiaje hapa.
Ni wewe ulituma? Mwanangu yametumwa mabo hapa nimeshinda najibu. naona hamjaishoma dunia ya sasa. Wenzio wananiuliza nawajibu. Swali hivi ukienda nchi za kicommunist kama Korea north na china JF inapatikana?