marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Wachape kaziWanaume mmesikiaView attachment 925505
Wachape kaziWanaume mmesikiaView attachment 925505
Huo hapo unakusalimiaView attachment 925533
Hizo picha jamani numbii ziko wapiiNywele na staili zake hazijabadilika sana ingawa zamani nywele zilikuwa zinawekwa vitu vingi katika mizungusho ya kawaida ya kuremba na wakati mwingine kuachwa tu zikijiotea na wengine wakitumia muda mwingi kuzisuka.
Ni vyema kama mwanamke unataka kupendeza kichwani kufika kwa wataalamu wa nywele ambao watazitengeneza au kukupa ushauri kutokana na kichwa chako na si vingine.
Ni kutokana na hali hiyo lkeo tunakuletea picha mbalimbali za watu na miondoko yao kichwani kwa lengo la kukuonyesha kwamba unachosuka kichwani inafaa kifanane na kichwa chako.
KheeeeChumvi,sukari nyingi huzeesha ngozi
Shosti niwaambieni kuwa matumizi makubwa ya chumvi au sukari ni hatari na sumu kubwa katika ngozi zetu kwani husababisha ngozi kuwa na makunyanzi kabla ya umri.
Kawaida makunyanzi hutokea unapokaribia kuimaliza miaka ya 40.Watu ambao ngozi zao zimeathiriwa na matumizi makubwa ya sukari na chumvi wanashauriwa kupunguza matumizi yavitu hivyo kwa kula mboga za majani na matunda kwa wingi ili kuweza kuondoa sumu ambayo imejengekamwilini na pia kunywa maji mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapimwe tuu tena aanze kiranja mkuu[emoji4]
Anae mfyuuu unataka kuchangamkia fursaNauliza Samata tayari ana ubavu[emoji58]
HahhaahaMpnz hapa hii uoga wa kurudi nyumbani imekaaje, ?
Baada ya kuanza maisha kivyako ukakwama au ukitoka kwenda kwa baby ukalala huko ndio uogope kurudi,?
[emoji38][emoji38]
Waje kujibu tuJibu la hili swali jamani mtoe taarifa kesho jioni ili mtueleze wote tukiwa jukwaani tafadhalini wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Don't be shy by Iman[emoji30] na uwepo kwa boo[emoji85] (nawaza ujinga kuelekea wikiendi)
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Shunie na Numbisa mbarikiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aww[emoji9][emoji8]ngoja nisave kabisa kwenye device kama kumbukumbu
Mpole, utajua tu, panapo majaaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbukumbu ya nn sasa dingi
Hmm[emoji40] hizi tafitiWanaume mmesikiaView attachment 925505
Eiiish nitajua kwenye nywele zangu halafu hilo panky vipi tena jamani dingimtoto khaaaaKuwa Mpole, utajua tu, panapo majaaliwa
Ndio mkazane ukoHmm[emoji40] hizi tafiti
Hapana, una pupa sana, relax vuta oxygen na toa carbonEiiish nitajua kwenye nywele zangu halafu hilo panky vipi tena jamani dingimtoto khaaaa