Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Jirani acha tu kichwa yangu ina mambo miaYaani ndio umekuja kujibu leo?
Jirani acha tu kichwa yangu ina mambo miaYaani ndio umekuja kujibu leo?
Salama kabisa,za wewe?
Jami mko powa?
Katabia kake kabovuu ka kuomba namba kaa nae kwa makini huyo msumbufuu sijawahi kuona ...akija pm mwambie awasiliane na mimi kwanza
okeee okeee,,pm kuna kufuli lkn hakupitiki usjaliMie namshukuru Allah niko salamaKabisaaa ofu kwakoo
![]()
okeee okeee,,pm kuna kufuli lkn hakupitiki usjali
Aah,,nilipewa Salam nikaambiwa ina malipo.Yaaaan pitaa kwa mangiiii kunywaa chochotee bili kwqngu
Umemkomeshaaa

Niko poa kabisa nayapitia madini yako
Nshakunywa tayari... haya kwako sasa! Peruvian hair ushapeleka?!hebu kunywa maji kwanza!!...😀
Kwani vipi tena? Eti Shunie, mimi ni kaka au binamu yako?!
Ulikuwa hujui! Kanijia PM kaniambia nikaushe... huyu Wick huyu!Kwahiyo Peruvian ndio zimemkimbiza eenh
Nilimwambia atafute kwa kuzipeleka... binamu zangu na misuko ya kimasai wapi na wapi!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
huyo si aliahidi masai braids
Sio kusikia tu, na waelewe!!Hahahahha wamesikia kaka chige
Mnh! Ndo maana unafikia kuhongwa hadi 650 za mwendokazi... aaaaaaaargh!!Six packs nzuri ukikumbatiwa unaingia mazima kwenye kifua ankole shikamoo
Binamu vipi tena! Huyu Tumosa si ulisema mdogo wako, au?! Mi nilikuwa namsifia binamu yangu mdogo!Kheeeee
Shakaa ondoa ...si hujapandishwaa helkopita na mfanyakazi wangu wa uber ya angani bwana mdogo @MikwarayaAndunjeAah,,nilipewa Salam nikaambiwa ina malipo.
Ss hiyo bili Anko nayo si itagharimu hiyo![]()
Hapana nilikuwa kwamongo primary schoolsKipindiii kile unasomaa veta
Sawa ngoja aje nimuulizeHuyoo muongo namba kabadilii baada ya kupokea mshahara na kupata mrembo wa kitanga
Mi siko poa kwa niaba ya moyo wanguJami mko powa?