Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyoo muongo namba kabadilii baada ya kupokea mshahara na kupata mrembo wa kitanga
Mi alinipigia na namba ngeni akasema wewe umumdhurumu mzigo wa korosho eti ulimwambia mzigo ulizidi mizani pale manazi mmoja ukaucha ila alivyo futilia akaukuta mzigo haupo ndio akaamua abadili namba

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom