[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa ole wako nikuone kwenye thread za watu unaanza kuuliza una chura ndugu yangu utamsikia kwenye bomba
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Leo nipo hapa kulinda jukwaa![emoji123][emoji123][emoji123]
Lipo hatimae Behaviourist kapata chura aliekuwa anamtafuta siku nyingi na aunty yko ndio kafanikisha hlo..nimepita na nitakaa sana hapa leo so, asante kwa shikamoo na bila uchoyo nasema marhaba binamu mama JJ.
Kuna Jipya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]...kama sijaelewa vile, tendo la ndoa ndo lipi sasa, ni lile la kuvalishana pete kanisani au kuchoma udi masjid au kama alivyofanyaga anko wangu bomani yeye hakuna cha keki wala shela wakafanya tendo la ndoa boamni kwa mkuu wa wilaya.
Au tendo la ndoa ndo kulombana, sio? Akili yangu inatanziko kidogo leo, nadhani ni kwa sababu ya hotuba ya Jiwe
Hivi binamu niliwahi kukuambia kwamba huwa unacheka vizuri ile mbaya!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134]
Marahaba binamu yangu, hujambo enh mtoto mzuri kuliko wote JF! Hebu msalimie shangazi, mwambia naja weekeendHeshima yako binamu
NI matumaini hizo sixi paksi zako unazotafuta hazina nia ovu kwa binamu zangu Tumosa na Shunie manake nawajua nyie vijana wa Dar! Badala ya kutafuta pesa ili muhonge pesa, mnataka kuhonga kwa sixi paksi... kwani sixi paksi zinaliwa? Eti binamu zangu?!Hahahahahaha,
Kule nimeacha bwanaa. Wazalendo wananitukana kila siku. Pembe za ndovu naziacha naenda Gym kutengeneza sixi paksi tu......
Haaaaaaaaah,NI matumaini hizo sixi paksi zako unazotafuta hazina nia ovu kwa binamu zangu Tumosa na Shunie manake nawajua nyie vijana wa Dar! Badala ya kutafuta pesa ili muhonge pesa, mnataka kuhonga kwa sixi paksi... kwani sixi paksi zinaliwa? Eti binamu zangu?!
Ila dah, hao "wazalendo" wanakuwaga na hasira ile mbaya....
Hana cha kutekwa wala nini... we unafikiri Peruvian Hair mchezo!! Hoyaa Wick, laki 4 ushatoa au nitoe mwenyewe na tusitishe kabisa mkataba wenu?! Mwenzako kaamua eti aanze kutafuta sixi paksi utadhani hizo sixi paksi zinaliwa! Jomba Malcom Lumumba, 6 pcs worked better during JK era cuz' dadaz got lots of money making options lakini kwa huyu Msukuma, hizo 6 pcs peleka Colosseum zikasaidie kulinda akina Mo wetu!Nimekumiss mm mpaka naumwa jamani aliyekuteka mwambie tumekoma akuachie basi hata kidogo
Kumbe dawa ni ndogo hivi binamu!! Dah, afadhali manake hapa nilipo ni full msongo wa mawazo, kinga za mwili zimepiga mbonji... sasa vipi binamu, tukutane basi weekend ili nipate hii tiba yenye baraka za Mola!
Muda ambao usually nakuwa nishaamka! Shenzi taipu Ziraili, pumbavu zako... mida za kunilia mingo itabidi uzibadilishe vinginevyo kila siku utakuwa unakuta godoro tu na mto!
Ufafanuzi mujarabu kabisa binamu yangu, mwenye shaka na ukaka wetu na aende kwa Makonda, Mlinzi wa Maadili Dar es salaam!Dada ako binamu kaka chige
Hujawahi nambia jamani binamuHivi binamu niliwahi kukuambia kwamba huwa unacheka vizuri ile mbaya!!!
Karibu sana binamuMarahaba binamu yangu, hujambo enh mtoto mzuri kuliko wote JF! Hebu msalimie shangazi, mwambia naja weekeend
Sawa mama ukiwahi niwekee nafasi[emoji4]maryam ndo la ubatzo kbs.Naenda mama tena utashangaa utanikuta uko sijui utakufwa au vipiii hivi mary ni jina lako kabisa au jf tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] six paki ndio nn binamuNI matumaini hizo sixi paksi zako unazotafuta hazina nia ovu kwa binamu zangu Tumosa na Shunie manake nawajua nyie vijana wa Dar! Badala ya kutafuta pesa ili muhonge pesa, mnataka kuhonga kwa sixi paksi... kwani sixi paksi zinaliwa? Eti binamu zangu?!
Ila dah, hao "wazalendo" wanakuwaga na hasira ile mbaya....