Makapuku Forum

Slogan ya mapenzi ni uchafu naona imekupitia pembeni eenh

Ukiwa kwenye lile tendo hutakiwi kuwaza chochote zaidi ya kukulana


...na tena madaktari pori kama anko wangu Lyon Lee wanasema kuzama chumvini na kukivyonza kiantena ni tiba ya kisukari. Anko wangu nafikiri sababu ya kukosa PhD yake ni hii akili
 


...kama sijaelewa vile, tendo la ndoa ndo lipi sasa, ni lile la kuvalishana pete kanisani au kuchoma udi masjid au kama alivyofanyaga anko wangu bomani yeye hakuna cha keki wala shela wakafanya tendo la ndoa boamni kwa mkuu wa wilaya.

Au tendo la ndoa ndo kulombana, sio? Akili yangu inatanziko kidogo leo, nadhani ni kwa sababu ya hotuba ya Jiwe
 
Tendo la ndoa ni kukulana binamu
 

...hii picha haitoshi mimi kutoa majibu, ingeshushwa chini kidogo kifuani nikajiridhisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…