Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,321 Reaction score 201,543 Oct 29, 2018 #340,721 Tumosa said: Hbr yaki cole Click to expand... Habari yangu ni njema kwa kweli Vipi wewe mrembo Tumosa
Tumosa said: Hbr yaki cole Click to expand... Habari yangu ni njema kwa kweli Vipi wewe mrembo Tumosa
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,456 Reaction score 69,361 Oct 29, 2018 #340,722 Shunie said: Anko shikamoo Click to expand... Marahabaa Shunie, mzima.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 Oct 29, 2018 #340,723 kabisaa Shunie said: kwakweli uraiani ukivaa vimini vyako kijana huyu hapa Click to expand...
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,456 Reaction score 69,361 Oct 29, 2018 #340,724 ningendako said: Nichorous Cage niaje mzee Click to expand... Mzee niko poa sanaaa, habari zako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 Oct 29, 2018 #340,725 Ya watu waapiii,ya kwako hio nshaikariri toka kwenye avatar iliyopita Shunie said: Kumbe hii avatar niliyoweka ya watu ana mgongo mzuri eenh Click to expand...
Ya watu waapiii,ya kwako hio nshaikariri toka kwenye avatar iliyopita Shunie said: Kumbe hii avatar niliyoweka ya watu ana mgongo mzuri eenh Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,726 Tumosa said: Shikamoo dada Click to expand... Na mm unanifukuza hunioni humu wewe endelea
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,727 Transcend said: Maraaap paaaap.. Mungu kaziba kitobo Click to expand... Nitakufwa shunie mm
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,728 Tumosa said: Sirudii jamani Click to expand... Tumosa said: sema aki Click to expand... Utajua mwenyewe
Tumosa said: Sirudii jamani Click to expand... Tumosa said: sema aki Click to expand... Utajua mwenyewe
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,729 Cole Williams said: So far so good Shemeji vipi huko ulipo? Click to expand... Niko poa shem wangu mm
Cole Williams said: So far so good Shemeji vipi huko ulipo? Click to expand... Niko poa shem wangu mm
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,730 Tumosa said: Nyumbani Click to expand... Na mm nataka kuja kuwaona
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,731 O'Brian said: Safi kwema shunie Click to expand... Kwema mkuu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,732 Malcom Lumumba said: Marahabaa Shunie, mzima. Click to expand... Mzima anko wangu za ww
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,733 Numbisa said: Ya watu waapiii,ya kwako hio nshaikariri toka kwenye avatar iliyopita Click to expand... Numbiii wewe wajaze watu niandikiwe thread na yule hance nilipo pachafu aiseee yule mwanaume hapana
Numbisa said: Ya watu waapiii,ya kwako hio nshaikariri toka kwenye avatar iliyopita Click to expand... Numbiii wewe wajaze watu niandikiwe thread na yule hance nilipo pachafu aiseee yule mwanaume hapana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Oct 29, 2018 #340,734 Magazeti na makapuku yanawajia hivi punde
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,456 Reaction score 69,361 Oct 29, 2018 #340,735 Shunie said: Mzima anko wangu za ww Click to expand... Mpwa nipo nachuma uzee kila siku, eti leo nimeamka miguu imegoma kutembea kabisa. Ikabidi nitafute fimbo ya kutembelea tu...
Shunie said: Mzima anko wangu za ww Click to expand... Mpwa nipo nachuma uzee kila siku, eti leo nimeamka miguu imegoma kutembea kabisa. Ikabidi nitafute fimbo ya kutembelea tu...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 Oct 29, 2018 #340,736 Beef mpole jamani ,mie nisingekubali udhalilishaji ule. Shunie said: Numbiii wewe wajaze watu niandikiwe thread na yule hance nilipo pachafu aiseee yule mwanaume hapana Click to expand...
Beef mpole jamani ,mie nisingekubali udhalilishaji ule. Shunie said: Numbiii wewe wajaze watu niandikiwe thread na yule hance nilipo pachafu aiseee yule mwanaume hapana Click to expand...
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,565 Oct 29, 2018 #340,737 Malcom Lumumba said: Mpwa nipo nachuma uzee kila siku, eti leo nimeamka miguu imegoma kutembea kabisa. Ikabidi nitafute fimbo ya kutembelea tu... Click to expand... Shikamoo mkuu!
Malcom Lumumba said: Mpwa nipo nachuma uzee kila siku, eti leo nimeamka miguu imegoma kutembea kabisa. Ikabidi nitafute fimbo ya kutembelea tu... Click to expand... Shikamoo mkuu!
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,321 Reaction score 201,543 Oct 29, 2018 #340,738 Shunie said: Niko poa shem wangu mm Click to expand... Nimefurahi sikia hivyo shemeji Umeshapata kifungua kinywa shemeji
Shunie said: Niko poa shem wangu mm Click to expand... Nimefurahi sikia hivyo shemeji Umeshapata kifungua kinywa shemeji
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,456 Reaction score 69,361 Oct 29, 2018 #340,739 Da'Vinci said: Shikamoo mkuu! Click to expand... Marahaba Vinci, mzima wewe Mkuu wangu ?
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,565 Oct 29, 2018 #340,740 Malcom Lumumba said: Marahaba Vinci, mzima wewe Mkuu wangu ? Click to expand... Mzima wa afya mzee wangu!
Malcom Lumumba said: Marahaba Vinci, mzima wewe Mkuu wangu ? Click to expand... Mzima wa afya mzee wangu!