Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli binamu
...ujue hii inawezekana ikawa na sababu nyingi sana, tafadhari unapopita watu jaribu japo kusalimia au kutabasamu na uendelee na mambo yako maana unaweza ukaanguka mbele yao na wakasema jamaa ametupita hapa kama hatuoni vile wacha nasi tufumbe macho
 
Sio nilirushwa binamu sijasoma darasa hata moja

Halafu binamu mbona ww hufanyi bday ya kuingia jf umepita miaka 10

Nawaona wenzako wanaanzisha thread uko wakitimiza miaka 10 au 8
...wewe si ulirushwa darasa ndo maana huna cheti cha darasa la nne
 
Sio nilirushwa binamu sijasoma darasa hata moja

Halafu binamu mbona ww hufanyi bday ya kuingia jf umepita miaka 10

Nawaona wenzako wanaanzisha thread uko wakitimiza miaka 10 au 8

...oh, ni vizuri kufanya hivi. Nimeingia kitambo sana aunt, kiukweli na huo mwaka ni kwa sababu ndo niliamua kutumia jina langu halisi na si lile nililokuwa natumia kabla, enzi za Jambo Forum.
Nikisema mimi ni mzee kijana usidhani natania. Nipo kitambo sana.

Asante kwa kunikumbusha
 
Kocha wa timu ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars, Emmanuel Amunike bado hajakata tamaa, na anawataka Watanzania kuendelea kuwa na imani kuwa timu yao ina nafasi ya kuelekea Cameroon.

Amunike, ambaye ni nyota wa zamani wa Nigeria ameliambia gazeti la The Citizen la Tanzania kuwa; "nafasi bado ipo, kundi letu bado lipo wazi, tunaweza kufanikiwa."

Muelekeo wa safari ya Tanzania utajulikana kesho Jumanne watakaporudiana na Cape Verde, ni lazima washinde ili matumaini yao yawe hai. Kama hiyo haitoshi, itawapasa washinde walau mchezo mmoja na kutoka sare mwengine watakapochuana na Uganda na Lesotho.

Uganda maarufu kama Cranes wanaongoza Kundi L wakiwa na pointi 7 baada ya kushinda michezo miwili na kutoka sare mchezo mmoja. Cranes watahitaji alama 4 tu katika michezo mitatu iliyosalia ili wajihakikishie kufuzu.

Kwa upande wa Kenya, wanaongoza kundi F wakiwa na pointi 7 baada ya kucheza michezo minne na kushinda miwili, kupoteza mmoja na kutoka sare mmoja.

Katika michezo miwili iliyosalia ambapo watacheza na Ghana jijini Accra, na Sierra Leone, Nairobi Harambee Stars wanahitaji kushinda mchezo mmoja na sare moja ili kufuzu.

Ethiopia ambayo pia inatoka ukanda wa Cecafa inashika nafasi ya pili katika kundi hilo wakiwa na alama 4 itakuwa na kibarua kizito kugombea nafasi ya kufuzu na Ghana wenye alama 3 na Sierra Leone wenye alama 2. Yeyote kati ya timu hizo tatu anaweza kuungana na kinara Kenya kufuzu.
 
Maafisa wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamethibitisha watu 24 zaidi wamefariki dunia kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola mashariki mwa nchi hiyo katika kipindi cha wiki iliyopita.

Maafisa hao wa Afya wameendelea kuwaonywa wakazi hao kuchukua hatua za kujikinga dhidi ya Ebola kutokana na kudodora kwa usalama katika eneo hilo ambako makundi ya waasi yamekuwa yakiendeleza uhalifu mpakani mwa Rwanda na Uganda na kufanya jitihada za kutoa huduma za kiafya kupungua.

Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari mjini New York, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric ameonya kuwa ghasia za hivi karibuni nchini humo zinakwamisha juhudi za kuudhibiti ugonjwa huo.

Mmoja miongoni mwa waadhirika ni fundi bomba ambaye anafanyakazi na Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika ukanda huo, amepata maambukizo ya virusi vya Ebola alipokuwa akienda kwa mganga wa kienyeji ambaye anadaiwa kumponya mmoja wa waathirika wa ugonjwa huo.

Shirika la afya la umoja wa mataifa WHO wamepanga kukutana siku ya Jumatano kuamua iwapo kuutangaza mlipuko wa ugonjwa huu kama janga la dharura la kiafya linalohitaji uangalizi wa jumuia ya kimataifa .
 
Kocha wa timu ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars, Emmanuel Amunike bado hajakata tamaa, na anawataka Watanzania kuendelea kuwa na imani kuwa timu yao ina nafasi ya kuelekea Cameroon.

Amunike, ambaye ni nyota wa zamani wa Nigeria ameliambia gazeti la The Citizen la Tanzania kuwa; "nafasi bado ipo, kundi letu bado lipo wazi, tunaweza kufanikiwa."

Muelekeo wa safari ya Tanzania utajulikana kesho Jumanne watakaporudiana na Cape Verde, ni lazima washinde ili matumaini yao yawe hai. Kama hiyo haitoshi, itawapasa washinde walau mchezo mmoja na kutoka sare mwengine watakapochuana na Uganda na Lesotho.

Uganda maarufu kama Cranes wanaongoza Kundi L wakiwa na pointi 7 baada ya kushinda michezo miwili na kutoka sare mchezo mmoja. Cranes watahitaji alama 4 tu katika michezo mitatu iliyosalia ili wajihakikishie kufuzu.

Kwa upande wa Kenya, wanaongoza kundi F wakiwa na pointi 7 baada ya kucheza michezo minne na kushinda miwili, kupoteza mmoja na kutoka sare mmoja.

Katika michezo miwili iliyosalia ambapo watacheza na Ghana jijini Accra, na Sierra Leone, Nairobi Harambee Stars wanahitaji kushinda mchezo mmoja na sare moja ili kufuzu.

Ethiopia ambayo pia inatoka ukanda wa Cecafa inashika nafasi ya pili katika kundi hilo wakiwa na alama 4 itakuwa na kibarua kizito kugombea nafasi ya kufuzu na Ghana wenye alama 3 na Sierra Leone wenye alama 2. Yeyote kati ya timu hizo tatu anaweza kuungana na kinara Kenya kufuzu.
Tufungweee tutulieee
 
Mshindi wa Olimpiki mara nane katika mbio za mita 100 Usain Bolt, 32, amepewa kandarasi ya miaka miwili kuchezea klabu ya Valletta FC ya Malta. (ESPN)
 
Barcelona imeungana na United katika kinyang'anyiro cha kumsajili beki wa kati wa Tottenham na timu ya taifa ya Ubelgiji oby Alderweireld, 29. (Mirror)
 
United na Spurs watasubiri kuona ikiwa Chelsea itajaribu kumsajili tena kiungo wa kimataifa wa Uholanzi Nathan Ake, 23, na iwapo itaendelea na azma yake ya kumsajili mlinzi huyo wa Bournemouth. (Telegraph
 
Manchester city ina haki ya kumliki tena winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho , baada ya kunyimwa kwa kiungo huyo wa kimataifa wa Uingereza kwa mara ya kwanza. (Manchester Evening News)
 
Kiungo wa kati wa Wales Aaron Ramsey, 27, yuko wa huru kujiunga na mahasimu sita wakuu wa Arsenal akiamua kuondoka Emirates bila malipo katika msimu wa joto. (ESPN)
 
Back
Top Bottom