Makapuku Forum

Makapuku Forum

AINA YA WATU NA VITU 10 VINAVYOUDHI ZAIDI UKIWA OFISINI

1.Kuongea na simu kwa sauti kubwa, mpaka kila mtu anajua unaongea nini na nani

2.Kula vyakula vyenye harufu kali ofisini, pengine kwa mazoea au pengine wewe unamamlaka makubwa hapo ofisini

3. Mtu ana miaka mitatu kazini na hawezi kufanya kazi zake mwenyewe. Mbaya zaidi wakubwa wanajua na hawachukui hatua yoyote.

4. Kuzungumzia siasa au dini ofisini wakati ofisi haifungamani na siasa wala dini yoyote.

5. Wafanyakazi ambao muda wote wamechanganyikiwa au wanalalamika muda wote. Inaudhi kufanya kazi na watu wa namna hii

6.Kubonyeza Keyboard kwa nguvu au kupiga kelele ofisini

7. Vikao visivyoisha.

8. Ndugu wa bosi kuwadharau wafanyakazi wengine au kujipa mamlaka na kutaka heshima eti tu kwa kuwa yeye ni mtu wa karibu wa bosi

9 Kuja na watoto ofisini

10. Watu wenye Majungu. Wengine hushinda kwenye dawati la mfanyakazi mwenzie akipiga soga na kusahau kazi yake.
 
MAJIBU KUMI YATAKAYOKUVUNJA MBAVU UKIMSHTUA MTU ALIYEPITIWA NA USINGIZI OFISINI/DARASANI

DARASANI
1.Daaah! inabidi niache kusoma mpaka usiku maana jana nimesoma wee acha tu!

2. mmh hili somo litaniua bwana yaani natafakari hapa wala sipati jibu! (kumbe alilala)

3. Bora umekuja hivi ndo nilikua nakusubiri wewe tufanye discussion daah!

4. Aisee ile dawa niliyokunywa jana usiku siitumii tena!

5. Aaaaah! Mbona umeni “interrupt?” yaani ndo nilikua nakaribia kupata lile jibu la swali tuliloachiwa!
 
OFISINI SASA
6. Yaani hata dokta aliniambia jana kwamba hii ingetokea! (kana kwamba anaumwa au alipitia hospitali)

7. Yaani hapa nalipiza ya jana usiku maana usiku mzima niliota niko ofisini nafanya kazi!

8. ……Amen! (kana kwamba alikuwa anasali)

9. Ni bosi anayeniita?? (kasahau kuwa bosi amesafiri)

10. Aisee kumbe keyboard ya kompyuta inalia hivi ukiweka sikio karibu!
 
JIZOEZE KUFANYA VITU HIVI 10 UTAKUBALIKA SANA NA WATU (Kazini, Shuleni, Biashara, Nk)

1.Jifunze Kukumbuka Majina Ya Watu. Sio Kila Mtu Anapendw Aitwe “Wee Kaka/Dada”, “Ankoo”, “Mzee”. Kukumbuka Majina Ya Watu Situ Itakupa Heshima, Bali Pia Utaonekana Ni Mtu Makini Na Unayejali.

2.Kumsifia Mtu Anapofanya Kitu Kizuri (Compliments). Nani Hapendi Kusifiwa?

3. Jifunze Namna Ya Kufikisha Habari Mbaya/ Ya Kusikitisha Kama Msiba, Ajali Nk

4. Usipende Kuangalia Saa Unapoongea Na Mtu. Hasa Anapokuelezea Tatizo Lake. Badala Yake Kama Unaona Anakuchelewesha, Tengeneza Mazingira Ya Kupigiwa Simu Ili Uondoke.
 
5. Jifunze Kutabasamu Unapopigwa Picha! Ina Maana Kubwa Sana

6. Jifunze Kuepuka Ugonvi. Na Ukiingia Kwenye Ugonvi Kwa Bahati Mbaya Basi Jifunze Kushuka La Sivyo Hakikisha Unashinda Ugonvi Huo.

7. Jifunze Kuwa Msikilizaji Mzuri. Kumbuka, Kila Mtu Anapenda Kusikilizwa.
 
8. Jifunze Kusema Samahani Na Ahsante. Epuka Kutumia Maneno Kama “Najua” Au “Mimi Pia” Badala Yake Elezea Unajua Kiasi Gani Badala Ya Kutumia Maneno Hayo Moja Kwa Moja!

9. Jifunze Kuonyesha Unakumbuka Matatizo Ya Watu Waliyokueleza Hapo Kabla Na Usisahau Kuwauliza Wamefikia Wapi Mnapokutana. Mfano Kama Alisema Ana Mgonjwa Basi Kumbuka Kumuuliza Hali Ya Mgonjwa. Kumbuka Binadamu Tunapenda Kuonewa Huruma.

10. Jifunze Namna Ya Kumuonyesha Ukarimu Mgeni. Pia Jifunze Kuwa Mgeni Bora Pale Unapokaribishwa Na Mwenyeji Wako
 
TUOMBE:

Baba yetu Mtakatifu Mungu uketiye mahali pa siri tunaliinua jina lako Takatifu Asante kutuamsha salama leo IJUMAS Tarehe 12 Oktoba 2018 tukiwa salama na Afya njema ..Asante kwa neema na rehema tele Baba Asante kwa familia ndugu jamaa na marafiki wote asante kwa huduma njema katika maisha yetu.Tunaomba toba kwa makosa yote tunayotenda kwa mawazo,maneno, matendo Uturehenu twakusihi .Tunajikabidhi mikononi mwako tutakase Baba tuwe barua njema kwa wengine watusome vyena.Tupe moyo wa unyenyekevu na msaada kwa wengine tujaze upendo usio na mwisho.Bariki kazi za mikono yetu..Endelea kutuponya Baba,endelea kubariki mashamba,mifugo na shughuli zote zituzalie matunda mema.
Tunaomba siku ya leo ikawe njema na kukupendeza ...tujaze shukurani kwa kila tunalopitia tukuone wewe.
Bariki wasafiri nchi kavu,majini,angani waende na kurudi salama.wabariki watoto na wajukuu wawe salama epusha utekaji ambao unaleta hofu kwa kila mmoja wetu tulinde miili na roho zetu.imarisha amani na mshikamno ili popote tulipo pawe mahali pema na salama pa kuishi.Roho Mtakatifu kaa nasi daima.Tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen

IJUMAA NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Ameni
 
Ameen
8. Jifunze Kusema Samahani Na Ahsante. Epuka Kutumia Maneno Kama “Najua” Au “Mimi Pia” Badala Yake Elezea Unajua Kiasi Gani Badala Ya Kutumia Maneno Hayo Moja Kwa Moja!

9. Jifunze Kuonyesha Unakumbuka Matatizo Ya Watu Waliyokueleza Hapo Kabla Na Usisahau Kuwauliza Wamefikia Wapi Mnapokutana. Mfano Kama Alisema Ana Mgonjwa Basi Kumbuka Kumuuliza Hali Ya Mgonjwa. Kumbuka Binadamu Tunapenda Kuonewa Huruma.

10. Jifunze Namna Ya Kumuonyesha Ukarimu Mgeni. Pia Jifunze Kuwa Mgeni Bora Pale Unapokaribishwa Na Mwenyeji Wako
 
Asanteee

.
Screenshot_20181012-103211.jpeg
Screenshot_20181012-103233.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20181012-103233.jpeg
    Screenshot_20181012-103233.jpeg
    130.1 KB · Views: 20

Similar Discussions

Back
Top Bottom