Makapuku Forum

Ameeen
 
Shikamoo binamu
 
He he eti huwezi ishi bila yy pumbavuuuuu jitu mmekutana ukubwani
 
Acha mama aitwe mama
 
. Idadi ya vijana wasiozidi umri miaka 25 wanaokunywa pombe imeshuka kwa kiwango kikubwa mno katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

Utafiti uliojumuisha vijana 10,000 nchini Uingereza na kuchapishwa katika jarida la kiafya la BMC Public Health, umebaini kuwa Idadi ya vijana wa kati ya miaka 16 - 24 wasiobugia mvinyo
imeongezeka kutoka asilimia 18% mwaka 2005 hadi 29% mwaka 2015.

Utafiti huu unathibitisha ushahidi wa awali kuwa idadi ya watu wanaojiburudisha kwa pombe
inapungua kwa kasi nchini Uingereza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…