The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
😳 [emoji23]Haahhahaahah hivi sijakutumia hata kimoja
Nilikua najua under 25!.29 kushuka chini ndio kiben10
Naomba uje na mimi na uelezee unanielewaje..? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa unarudi nishtue kile kitoto chako cha Udom kitakuwa kimefungua!..🙂hahaa naona waniuzia case
Habarini za asubuhi wapendwa makapuku.
😳 [emoji23]
Nilikua najua under 25!.
Mimi sitaki miaka...Hahhhahahah
Wewe 25 [emoji85][emoji85]
Za kwangu zuri bosi u mzima?Salama kapwil za ww
Ina sms za mods tu hapa!.Ebu refresh pm yako bana
sawa " @ shunie ana taarifa lakini kuwa una michepuko kama makusanyo ya fedha za TAMISEMIUkiwa unarudi nishtue kile kitoto chako cha Udom kitakuwa kimefungua!..🙂
HahhahhahaahMimi sitaki miaka...
Miaka umeingia cha kiume mama D.
Nieeleze unavyonifahamu
Za kwangu zuri bosi u mzima?
Ina sms za mods tu hapa!.
Huyo tumeshaachana sasa hivi mm simuwezisawa " @ shunie ana taarifa lakini kuwa una michepuko kama makusanyo ya fedha za TAMISEMI
Huko nako umeenda Chaka vibaya..Hahhahhahaah
Wewe T yaan nahisi ni mtu flani hivi mkubwa serikalini acha niishie tu hapa