Nikujibu hapa eenh hapana sio kila siku mm ni mlutheri
Hivi ni ww ndio umeandika hapa nileft tu makapuku
Kuna siku nilikusoma mahali da vinci alikuquote ulielezea baba ako alitaka uwe padri kitu kama hikonasahau kama nishawahi uliza, unajua tena vingine naviona vidogo kuvikumbuka!. Ila malezi yako mazuri me mkatoliki lakini nilianza toka enzi hizo ukaidi wa masuala ya imani!.
ngoja nitafute tafasiri rasmi!.
Nah! mzee wangu hakuwahi penda mambo ya dini. Mama ndio ugomvi mpaka leo!. Jpili anaweza kukupigia simu saa 3 asubuhi ukipokea kesi, nikamjulia simu zake napokea kuanzia saa 8Kuna siku nilikusoma mahali da vinci alikuquote ulielezea baba ako alitaka uwe padri kitu kama hiko
Nina hofu na Mungu wick, Mungu kwanza mengine badae
Mmeshibana sana mfano sitoi!.Tafuta tafsiri rasmi halafu uniambie
Nah! mzee wangu hakuwahi penda mambo ya dini. Mama ndio ugomvi mpaka leo!. Jpili anaweza kukupigia simu saa 3 asubuhi ukipokea kesi, nikamjulia simu zake napokea kuanzia saa 8
Ubarikiwe sana kwa hofu uliyonayo Shunie tuombee na wengine tuipate!.🙂
Ameeen wick nawaombeaNah! mzee wangu hakuwahi penda mambo ya dini. Mama ndio ugomvi mpaka leo!. Jpili anaweza kukupigia simu saa 3 asubuhi ukipokea kesi, nikamjulia simu zake napokea kuanzia saa 8
Ubarikiwe sana kwa hofu uliyonayo Shunie tuombee na wengine tuipate!.🙂
Mckcj99cc88d9ed9e8did
@Lyon Lee ndio najuana nae nje ya jf Obe hata kumjua simjui hata anavyofanana kuna mda nahisi ni mbabu hivi mzee halafu kuna mda nahisi kijana kaben10 flani kiufupi binamu Obe simuelewiMmeshibana sana mfano sitoi!.
Kuna sehemu nilikusoma seems mna connections outside here somehow!..
Mckcj99cc88d9ed9e8did
@Lyon Lee ndio najuana nae nae ya jf Obe hata kumjua simjui hata anavyofanana kuna mda nahisi ni mbabu hivi mzee halafu kuna mda nahisi kijana kaben10 flani kiufupi binamu Obe simuelewi
Kujuana nje ya jf sio big deal wick hata mm na ww tunaweza juana kikubwa ni kujiamini
Watu wengi humu jf hawajiamini ndio mana baadhi hawataki kujuana na watu
Kipindi chetu ilikua sunday school tunaenda kuangalia sinema kwa mapadre (wazungu), me nilikuwa mpenda vitu vya umeme sasa nikawa nazoeana nao nijue zinafanyaje vile vifaa vyao, kumbe wenzangu wananiona nitafaa kukaa nao seminari!. Nikaja sikia huo mpango!.Mh mbona nakumbuka ulisema mzee alipewa maneno kuhusu dini
Kwa nn unakuwa ugomvi ukipokea simu saa tatu
Hujalala bado ...nmemis mitaa ya kwako ila kesho narudiii mjini
Kipindi chetu ilikua sunday school tunaenda kuangalia sinema kwa mapadre (wazungu), me nilikuwa mpenda vitu vya umeme sasa nikawa nazoeana nao nijue zinafanyaje vile vifaa vyao, kumbe wenzangu wananiona nitafaa kukaa nao seminari!. Nikaja sikia huo mpango!.
Saa 3 asubuhi ina maana kanisani hapaendeki!. Saa 8 unaweza jitetea ulikuwa kanisani or umeenda kumridhisha!.
Hahahahahaha kuku na maharage na nini kingineNina maombi kuanzia saa sita nalala saa saba
Jamani niletee vitu vyangu basi au ndio brotherman hubebi mavitu
Hahahahahaha kuku na maharage na nini kingine