hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,502
- 73,680
kwakweli .. shemeji uliyempata usimuache maana anakuganda haswaa kama roba ya shingo .. kakuficha kabisa humu hauonekaniHahaha hahaha hahaha
Nipo hapa mimi jamaniii
kwakweli .. shemeji uliyempata usimuache maana anakuganda haswaa kama roba ya shingo .. kakuficha kabisa humu hauonekaniHahaha hahaha hahaha
Nipo hapa mimi jamaniii
Nimeanza kukata vituuuu aisee
Njooo zipo heineken zako
Hajulikani aliko ila amejiuzulu...

Eiiiish mpaka kutag amesahauKasahau hado kutag mtuu ..![]()
T ebu acha kunijaza jamaniWewe nani kakuambia uniblock?
Ama ndio ile asubuhi tigo walitufungia line kwa muda?
In your honor..Yo needed my dear
Naona heineken zipo kichwani sasaSema mama D...
Mtoto maftaaaaaaaa
man u hamna kitu mule " lile ni gari la mkaa .. kama sio walking dead
Kwa phone hapatikanii...
Lee empire yuko wapi jamaa bila kumsahau Blessed Na from zero
hahaa wajipooza maumivu ..una moyo maana sio kwa kunifariji hukoEndeleeni sisi ligi ndio imeshaanza
ShkamooHapana.. Kwani umeona nini.. Mbona post ilikua inalenga watu waliopotea humu