5,MWAGILIA MBEGU
Maisha yetu ni sawa na shamba au mmea uliooteshwa ,unatakiwa kumwagiliwa na kupaliliwa ili uwe na rutuba na afya njema, wakati tunapopalilia tunaondoa uchafu na vitu ambavyo vinaleta kukosesha hewa , kwa hiotunatoa ili kuacha mwili uwe safi .
unapokuwa na tabia nzuri unajiongoza kuwa na mawazomazuri,jisamehe mwenyewe, usiige tabia za watu ,amini utendacho,fanya upendacho,kula vizuri ,matunda mboga ,tafakari ,ishi sasa.
6. FURAHIA MIPANGO ULIONAYO.
Acha kufikiria mambo yaliyopita,anza kufikiria yaliyopo , Hakuna mtu ambaye anaweza kurudi nyuma nsa kuanza upya, lakini unaweza kuanza upya ulipo na kumaliza salama safari yako yenye mafanikio makubwa.
Kufanikiwa kuwa na afya kila mtu anataka, furahia maisha,furaha ya kweli haiji tu kwa kuangalia TV.au kuangalia idadi ya vitu ulivyonavyo hapana , furaha ya kweli huja pale unapofurahia kila dakika na kilahatua ya maisha yako ya ushindi.