Siku zote unapomsaidia mtu usitake arudi akushukuru.ukiwa na dhamira hiyo msaada wako utakuwa kama deni.na utakuwa unateseka sana moyoni msaidie mtu kisha potezea.Kumbe tupo wengi acha tu mkuu huwa najitoa sana
Safi kabisaHabarini za usiku wana jukwaa.
Siku zote unapomsaidia mtu usitake arudi akushukuru.ukiwa na dhamira hiyo msaada wako utakuwa kama deni.na utakuwa unateseka sana moyoni msaidie mtu kisha potezea.
Habarini za usiku wana jukwaa.
...msaada wowote usidanganyike kuwa hauna tarajio fulani, hakuna chai ya bure,
NimekumisiiiiiiiiAbeeeh
Niko hapa
AmeeeeeeeenTUOMBE:Mungu wetu tuna kila sababu ya kushukuru kutuamsha salama leo Jumatano tarehe 3 Octoba 2018..wako wengi walitamani kuiona siku ya leo hawajaweza.Tunaomba toba kwa makosa yote tuliyotenda kwa mawazo maneno na matendo uturehemu twakusihi.Tunakabidhi ratiba zetu ..tunakabidhi familia zetu kaa nasi Baba.ponya wagonjwa,waliovunjika mioyo wafariji wafiwa ,wajane wagane na yatima wape tumaini.Tunaomba walinde watoto wetu na wajukuu wetu waepushe na pepo baya na wimbi la kuibiwa tunawafunika kwa damu takatifu ya Kristo nazifunga roho zote za giza.
Tunaomba walinde wasafiri wote majini ,nchi kavu,angani waende na kurudi salama ..tunaomba Amani na umoja katika Nchi yetu.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe na tuongoze katika kila hatua..Asante Baba maana wewe ni mwema utatenda sawa na mapenzi yako Amen...
JUMATANO NJEMA YA AMANI DAMU TAKATIFU YA KRISTO YESU ITUFUNIKE
Hizo rangiiii mbona hatariii....YAFAHAMU MAAJABU MATANO KATIKA MWILI WA BINADAMU
Nywele nyekundu
Watu wenye nywele nyekundu duniani (watu weupe, Wazungu) ni wachache sana,wako chini ya asilimia mbili. Hivyo wana haki ya kufurahi na kujivuna.
Jicho linaloona rangi nyingi zaidi
Watu wengi wana uwezo wa kuona rangi zipatazo milioni moja, japokuwa watu wenye upofu wa rangi huona rangi zipatazo 100,000 tu. Kinyume chake, wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuona rangi (tetrachromacy) wanaweza kubaini rangi zipatazo milioni 99!
TUOMBE:Mungu wetu tuna kila sababu ya kushukuru kutuamsha salama leo Jumatano tarehe 3 Octoba 2018..wako wengi walitamani kuiona siku ya leo hawajaweza.Tunaomba toba kwa makosa yote tuliyotenda kwa mawazo maneno na matendo uturehemu twakusihi.Tunakabidhi ratiba zetu ..tunakabidhi familia zetu kaa nasi Baba.ponya wagonjwa,waliovunjika mioyo wafariji wafiwa ,wajane wagane na yatima wape tumaini.Tunaomba walinde watoto wetu na wajukuu wetu waepushe na pepo baya na wimbi la kuibiwa tunawafunika kwa damu takatifu ya Kristo nazifunga roho zote za giza.
Tunaomba walinde wasafiri wote majini ,nchi kavu,angani waende na kurudi salama ..tunaomba Amani na umoja katika Nchi yetu.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe na tuongoze katika kila hatua..Asante Baba maana wewe ni mwema utatenda sawa na mapenzi yako Amen...
JUMATANO NJEMA YA AMANI DAMU TAKATIFU YA KRISTO YESU ITUFUNIKE
Siku za Ijumaa macho yangu yana rangi kama 4 hivi, ukiyaangalia utasema unahangalia chai ya hudhurungi iliyochachushwa kwa sukari guru.Nywele nyeupe
Pamoja na watoto wengi (weupe au wa Kizungu) kuzaliwa na nywele nyeupe, wengi wao nywele hizo hubadilika na kuwa nyeusi wanapokua. Hivyo watu wazima wenye nywele nyeupe ni kati ya asilimia 2 na 16% tu.
Macho ya bluu
Ni asilimia 8 tu ya wanadamu wana macho ya blue. Hali hii inayosababishwa na vinasaba hivi sasa imejitokeza zaidi. Inakadiriwa kwamba binadamu wa kwanza wenye macho ya bluu waliibuka kati ya miaka 6,000 na 10,000 iliyopita.
Macho yenye rangi mbili
Hii husababishwa na ukosefu wa rangi (melanin) katika jicho moja kulifanya lilingane na jingine. Kadiri ya watu sita miongoni mwa 1,000 huzaliwa na kasoro hiyo. Mwigizaji wa kike wa Marekani, Mila Kunis, na mwimbaji Mwingereza, hayati David Bowie, ni mifano ya kasoro hiyo.