Makapuku Forum

Asanteee numbi
Nimejifunza kitu hapa
Mm nina huruma sana yaan nasaidia watu halafu hawana shukrani hawakumbuki
 
 
Unapokuwa kwenye mahusiano ya kawaida, Kamwe hutaweza kuongea kuhusu maisha ya baadae.Unakuwa unaepuka mipango yote inayohusu baadae. Unaweza kuwa unafanya kila kitu lakini hutaweza kuongea kuhusu baadae.

Lakini kama upo kwenye serious relationship, Topic yako muda wote itakuwa kuhusu baadae. Utaongea kuhusu mipango yote ya baadae, Aina gani ya nyumba, Watoto wangapi, Marafiki wa aina gani, Harusi itakuwaje, Utaongea jinsi gani mtakavyoweza kukua pamoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…