Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,194
msukuma na shikamoo kuna uhusiano!?.Si msukuma huyo lakini
msukuma na shikamoo kuna uhusiano!?.Si msukuma huyo lakini
😀 nikiita mama meno yote nje kwanini bibi unachukia!?..Mm huyo bibi hivi wick jamani nimekukosea nn mm
Anahisi mimi babu!.. Hii mhehe haijui meno bado ipo nitavunja mifupa, shauri ake!..We vipiiiii na shikamoo zako unataka kumnyima nn
hachelewi jitundika huyo!.. sitaki kesi me!..Umemshindwa eenh
umeshindwa wapi nikusaidie!?🙂Ndiwoooo
Hahahahah ulimuomba namba kumbe?atakuwa bado anashungulikia hyo namba..
Kuhusu Numbisa...huyo binti mkorofi kuwa nae makini hahahah
KuumbeSio kila msukuma anapewa shikamoo mfyuuu zako
...ha hahahaha, hadi ukijua kumtag mtu na kufungua pm mimi nitakuwa nimeweza kuliozesha hili bibo liwe wine

Shikamooo kaka ningendako nilikumiss mm we hujui tuKwema humu ndani
Shikamoo mkuuMorning
Ndiwoooo si wa mkoani?msukuma na shikamoo kuna uhusiano!?.
Univunjage tuAnahisi mimi babu!.. Hii mhehe haijui meno bado ipo nitavunja mifupa, shauri ake!..

Wala sitaki msaadaumeshindwa wapi nikusaidie!?🙂
Shikamoo esterYaani mie huyu huyu Esther ,mpole mpole nisie na maneno na mtu unanisingizia hivyoooo sauwa tu bora aliekupoteza angekuongezea siku zaidi hahahahaah



marahabaaa,aiseee esta jina lenye baraka hadi nimeamkiwaaaShikamoo ester![]()
![]()
![]()