Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marahabaaa,aiseee esta jina lenye baraka hadi nimeamkiwaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marahabaaa,aiseee esta jina lenye baraka hadi nimeamkiwaaa
Imekataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...umefanya vizuri kuniita bosi, nimemaliza intavyuu leo na nimekuwa bosi so, kula bia kadri roho na mfuko utakavyokujalia
...safi sana, sasa unaruhusiwa kuwaita na wanakapuku wengine nao waje washeherekee ubosi wangu kwa kunywa na kula kwa kadri mifuko na roho zao zitakavyowabariki. tafadhari washirikishe Tumosa huyu anywe soda tu, sidhani kama anaweza kuhimili safari lager, Transcend kunywa monde mkuu, mtu chake kamata kilaji, shululu punguza safari kula kilaji, Thad wewe mgeni lakini umenivutia ila nakuona kama sio mtu wa monde, sasa wewe kamatia kinywaji cha fursana kunywa tani yako. Da'Vinci wewe nawe kamata vimto, usinywe stonetangawizi, dingimtoto kula fanta, Mndali ndanyelakakomu wewe nakuona kama mlevi wa kawaida unayeogopa kulipa kodi na kusaidia maendeleo ya nchi, kamata maji makubwa ya uhai.
Ankooo, nakuita ndugu yangu wa ukweli Lyon Lee wewe kula mayi kama mamba na kamatia muhudumu kama ulivyofanya kwenye Maulid ulipokuja kunitembelea Ruangwa, ABJ wewe bado mwanafunzi ila leo ruksa kula maji, aunt yangu sasa Shunie huyu Kapwil anaonekana haelewi kwa uharaka sasa kula Heinneken asipoelewa mtukane matusi ya nguoni ila Numbisa asisikie maana anaonekana mtu wa dini sana, sasa hapa akija SHIMBA YA BUYENZE patapendeza maana atatoa ofa kama yangu kwamba kila mtu anywe kwa hela yake.
Jamani wadau wikend hii tuwe makini na tabasamu ni kila kitu unachohitaji kuifanya wikend yako kuwa nzuri
...ha hahahaha, hadi ukijua kumtag mtu na kufungua pm mimi nitakuwa nimeweza kuliozesha hili bibo liwe wine
Nina mwl mzuri shunie hujui mzee
Hahaha hakuna cha posho wala nn binamu,,kwema lakini
...salamu zimefika usikonde, tena bila kuchelewa, labda na huyu ABJ akija atakuja na namba niliyomuomba. Umefanya vizuri kumuita.
Kuna mdau anaitwa Numbisa anashusha nondo za maana, pita usome, mimi siwezi kuzisoma saa hizi maana nakula vyombo hapa na kuburudika na sebene
Sasa mm sitaki jamani mm sio Bibi nikikaa kimya hili jina litakuwa sanasijawahi sema bibi ni kitu mbaya lakini bibi [emoji23].
msukuma na shikamoo kuna uhusiano!?.
😀 nikiita mama meno yote nje kwanini bibi unachukia!?..
Anahisi mimi babu!.. Hii mhehe haijui meno bado ipo nitavunja mifupa, shauri ake!..
hachelewi jitundika huyo!.. sitaki kesi me!..
[emoji23][emoji23][emoji23]marahabaaa,aiseee esta jina lenye baraka hadi nimeamkiwaaa
Weekend inasemaje mkuu.upoWouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91]
Nakazia mwalimu wako nipo hapa