Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Sio kila msukuma anapewa shikamoo mfyuuu zako
Si msukuma huyo lakini
Si msukuma huyo lakini
Ijumaa inajijuaga yenyewe hapa kuna bia za baridi zinatoa jasho, na shoo ya MC Chaku
Thanks shunie mm nipo.ila kwenye mile kibahasha kinanionyesha kuna sms nikitakufungua nizisome hakifunguki kwa nn?Niko poa jamani nimefurahi kukuona
Hahahhaha unazimaje kwa mfano my dear hapa ni hauzimiiiiiiiiiiiiiSalama tu best ake. Weekend ndo hiyooo imeanza, vipi hauzimi au ushazima !






















Asante binamu
Thanks shunie mm nipo.ila kwenye mile kibahasha kinanionyesha kuna sms nikitakufungua nizisome hakifunguki kwa nn?
Ngoja nijaribuRefresh kibahasha yaani fanya kama unashusha chini hivi
Ngoja nijaribu
ImekataaRefresh kibahasha yaani fanya kama unashusha chini hivi
Imekataa
Sawa bosi.haaaaaaaa..usitumie nguvu sana, sio unakishusha utasema unapiga msasa
Sawa bosi.haaaaaaaa
Mfuko unaruhusu kuhusu hilo usitie shaka....umefanya vizuri kuniita bosi, nimemaliza intavyuu leo na nimekuwa bosi so, kula bia kadri roho na mfuko utakavyokujalia
Kama ni hivyo umekuwa bosi Leo mm nimekutangulia longtime...umefanya vizuri kuniita bosi, nimemaliza intavyuu leo na nimekuwa bosi so, kula bia kadri roho na mfuko utakavyokujalia
Mfuko unaruhusu kuhusu hilo usitie shaka.
Kama ni hivyo umekuwa bosi Leo mm nimekutangulia longtime
Hujui watu waliotokea shamba wakaingia mjini.wakawa ndio wa mjini kuliko walizaliwa mjini.subiri...ha hahahaha, hadi ukijua kumtag mtu na kufungua pm mimi nitakuwa nimeweza kuliozesha hili bibo liwe wine
Hujui watu waliotokea shamba wakaingia mjini.wakawa ndio wa mjini kuliko walizaliwa mjini.subiri
Kwema humu ndani