Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kheeeee
6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!

7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga

8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni

9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu
 
He he ya betri za rimoti inanihusu aiseee yaani mm kabisa
6. Betri za rimoti yako zimekwisha unaamua kuminya batani za rimoti kwa nguvu zaidi ukihisi itasaidia!

7.Unaambiwa kitu Fulani ni cha moto, unaamua kugusa na unaungua kweli!

8. Unajikwaa au kujigonga sehemu na unaanza kutukana ukihisi sehemu hiyo inakusikia

9 Kujiangalia kwenye kioo cha jengo na kusahau kuwa kuna watu ndani ya jengo na wanakuagalia


10. Unabisha kwamba hujalala (huko usingizini) na unasikia kila kinachoongelewa, kumbe kila mtu ameshakushtukia!
 
HATUA KUMI ZA KUFUATA (Pamoja Na Picha) UNAPOFUNGUA CHUPA YA SHAMPENI (Champagne)

1.Kabla Ya Kuanza Kufungua, Hakikisha Chupa Yenye Shampeni Imehifadhiwa Kwenye Ubaridi Kwa Muda Fulani Kwani Kinywaji Hiki Ni Bora Zaidi Kikinywewa Kikiwa Baridi. Unaweza Usiweke Kwenye Baridi Kama Tu Unataka Shampeni Iruke Sana Na Kusambaa Kila Mahali.
p_sauce-champagne_1547511c.jpg
 
HATUA KUMI ZA KUFUATA (Pamoja Na Picha) UNAPOFUNGUA CHUPA YA SHAMPENI (Champagne)

1.Kabla Ya Kuanza Kufungua, Hakikisha Chupa Yenye Shampeni Imehifadhiwa Kwenye Ubaridi Kwa Muda Fulani Kwani Kinywaji Hiki Ni Bora Zaidi Kikinywewa Kikiwa Baridi. Unaweza Usiweke Kwenye Baridi Kama Tu Unataka Shampeni Iruke Sana Na Kusambaa Kila Mahali.View attachment 880419
Eheeeh...
 
3. Ondoa Karatati Inayozunguka Shingo Na Mdomo Wa Chupa Ya Shampeni. Ili Kuondoa Karatasi Hiyo, Zungusha Chupa Yako Na Kutazama Kiungio Cha Karatasi Hiyo Na Kuivuta Taratibu.
images (6).jpg
 
4.Utaona Waya Uliosukwa Kuzunguka Kizibo Cha Chupa Ya Shampeni. Waya Huo Unazuia Kizibo Hicho Kisitoke Kunapokuwa Na Presha Kubwa, Joto, Au Mtikisiko.
images (4).jpg

5.Weka Kidole Gumba Cha Mkono Uliotumia Kushika Shingo Ya Chupa Ya Shampeni, Tumia Mkono Wako Mwingine Kuondoa Waya Unaozunguka Kifuniko Cha Chupa.
Kumbuka Waya Huo Huondolewa Kwa Kuzungusha Ukianzia Sehemu Ya Pembeni Iliyofungwa Kama Kitanzi.
 
6.Ondoa Waya Na Kuuweka Pembeni. Bila Kuachia Kizibo, Unaweza Kutikisa Chupa Mara Kadhaa Kama Unataka Shampeni Iruke. Kama Hutaki Iruke Basi Usitikise Chupa Hiyo.
579-1_ass.jpg
7. Weka Kitako Cha Chupa Tumboni Kwako Ili Kuipa Balance Huku Mdomo Wa Chupa Ukiangalia Juu Kwa Nyuzi 45 (45 Degrees). Hii Itazuia Kizibo Au Shampeni Kumrukia Mtu Aliyeko Karibu Wala Wewe.
 
8.Achia Kidole Kilicho Juu Ya Kizibo, Huku Mkono Wako Mmoja Ukiwa Umeshika Shingo Ya Chupa (Usiielekeze Chupa Kwa Mtu) Na Mwingine Ukiwa Huru.
670px-Open-a-Champagne-Bottle-Step-4.jpg
 
9. Anza Kuzungusha Kizibo Cha Chupa Taratibu Kulia Na Kushoto Huku Ukikivuta Taratibu Sana Mpaka Kitoke. Kumbuka Unaweza Kukiachia Kiruke Au Kukishikilia Kama Ni Tafrija Inayohitaji Utulivu Sana.
images (2).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom