Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kumbe nauli nitajitegemea?Ha ahahahha, subiri niuze korosho, Anza kutunza nauli ya kuja na kurudia.
Basi sijiKumbe nauli nitajitegemea?Ha ahahahha, subiri niuze korosho, Anza kutunza nauli ya kuja na kurudia.
Basi sijiNakuangalia na kicheko chako cha kutaka kuniharibia jina. Ujue wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunisaidia kwenye mambo ya msingi
Mualikwa haaliki, nitakula mimi na yeye tu.
Hakuna cha malipo, si nitakuwa nimemsaidia kula na kuacha zile tabia 10 za ovyo anazokuwa nazo akiwa peke yake
Kumbe nauli nitajitegemea?Basi siji
Mungu wangu! Wewe Mwanamke wewe!Unakufaje na mm nipo nakojoooooooooooooaaaaaaaaa.wouzeeeeeerrrrrr
![]()
somo zuri sana hili!Daktari Fredrik Mashili kutoka Muhimbili amesema, watu wengi nchini wanaotumia dawa za kupunguza unene, hutumia dawa za kuwafanya waharishe na hivyo kupoteza maji mengi mwili.
Hivyo, watu hao huwa hawapungui, bali mwili husinyaa kwa kupoteza maji jambo ambalo ni hatari kiafya.
Vibongeeee mpoView attachment 879578
.....duh, au unataka me ndo nibebe kiroba nije?
Nina anko wangu mjini unaweza kuja kukaa, atanipa chumba tutakaa bure, ni kulalana kula na kuangalia TV ya isidingo.

Hongera binamu naona ngekewa inanukiaNakuangalia na kicheko chako cha kutaka kuniharibia jina. Ujue wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunisaidia kwenye mambo ya msingi
Shikamoo mkuuMungu wangu! Wewe Mwanamke wewe!
Mm hujawahi nichangia ada binamu so tusisumbuane na hcho kingereza chakoAsubuhi njema watu wema mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Kama hakuna jipya basi tukutane mida ya jioni, happy furahiday beautiful people and as always (for our English members) this forum is great because you, yes you reading here right now, you are here. We are not strangers rather a bunch of friends who have not met yet. Nanoa kiinglish mwenzenu nina intavyuu na mzungu mweusi mmoja. Wish me good luck na huwezi jua ninaweza kupata nachotafuta na kuja kukushukuru wewe ambaye umeweza hata kusoma hapa. Much love, tuifanye furahiday kuwa rahisi “easy one”

TUOMBE:MUNGU Baba Mwenyezi tuna kila sababu ya kukushukuru umekua mwema kwetu asante kutuamsha salama leo Ijumaa tarehe 28 Septemba 2018 Tunaomba Tubariki Tulinde Tuongoze kila tutakapokuwa leo Tubaomba tobabkwa kika kosa tusamehe Ee Baba. Tuepushe na hatari zote za mwili na za Roho..maneno na matendo yetu yakupendeze.Bariki wote majumbani mwetu ponya wagonjwa fariji wafiwa.wasafiri wote waende na kurudi salama epusha kila baya maishani mwetu.Tunakabidhi kazi za mikono yetu ziwe za kukupendeza tunaomba mshikamano,uvumilivu na kila mmoja ajue umuhimu wa mwenzake tunaomba utubariki Ee Baba tunaomba utusikie .Siku ya leo imarisha imani yetu tufanye tuseme ndiyo Kwako Mfalme wa Amani Roho Mtakatifu kaa nasi ni katika jina la Yesu Kristo tunaomba na kuamini Amen.

Hongera binamu naona ngekewa inanukia