Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20180928-080804.jpeg
Screenshot_20180928-080822.jpeg
 
Si bora ngekewa ingeniangukia, kicheko cha aunt yangu tayari kimeniharibia, Sasa nakutegemea wewe uoneshe kuwa Mimi ni mtu makini.

Umeamka poa lakini.

Ngoja niende nikasake faranga tutaonana jioni nikiwa kwenye bendi hapa bwalo la magereza
Nko poa binamu
Hakika ww ni mtu makini kwa vyovyote vile Thad lazima atafute nauli akufuate,mkakae kwa mjomba wako muangalie tv ya isidingo
 
TUOMBE:

Baba Asante kutuamsha salama tukiwa wazima siku ya leo .Tunaomba Toba tusamehe..Tunajikabidhi mikononi mwako endelea kutupigania Mfalme wa Amani.Tuponye,Tubariki,Tuhuishe.

Tunajikabidhi sisi na kila tunalopitia Baba mikononi mwako..wafariji wafiwa wote wape mahitaji na tumaini wajane,wagane ,yatima watie nguvu waliipondeka mioyo.

Damu Takatifu ya Yesu Kristo inene mema makazini,safarini,katika masomo,kwa watoto na wahitaji wote wakutafute wewe .Hesabu hatua zetu Roho Mtakatifu kaa nasi.Ni katika jina la Yesu Kristo naomba na kuamini Amen

SIKU NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Mm nikutakie tu kila la heri na huyo mzungu mweusi wako kwahiyo magazeti utasoma jioni binamu
Asubuhi njema watu wema mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Kama hakuna jipya basi tukutane mida ya jioni, happy furahiday beautiful people and as always (for our English members) this forum is great because you, yes you reading here right now, you are here. We are not strangers rather a bunch of friends who have not met yet. Nanoa kiinglish mwenzenu nina intavyuu na mzungu mweusi mmoja. Wish me good luck na huwezi jua ninaweza kupata nachotafuta na kuja kukushukuru wewe ambaye umeweza hata kusoma hapa. Much love, tuifanye furahiday kuwa rahisi “easy one”
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom