Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka mwanzon wakati naanza ingia mule nilipata upinzani mkali eti wewe humu sio fani yako nenda kuleee utadhani wananilipia vocha nikakomaa nao humo humo
Lile jukwaa limenishinda mm yaani siliwezi na sina mzuka nalo kabisa ugomvi nje nje kule hapana
 
Nilikua na fani ya kutafsiri isidingo entertainment huko. Sasa jamaa wakataka kulazimisha nishinde ndani ya uzi mmoja tu ati ndo napawezea zaidi.
..kwani walijua una fani gani hao mafanani waliotaka kukuzibia kugawa ilmu bure?
Nitaenda kwenye hilo Jukwaa nami nikaangalie
 

Duh, umenikumbusha maisha baada ya kumaliza VeTA, aisee ni kama umeyaona maisha yangu.Neti nilikuwa nimeiseti kitandani yaani nikija kulala utasema naingia kwenye handaki. maisha yalibadilika pale niliponunua kiroba cha mchele na maharage nikaona nitafute mrembo wa kusaidiana naye kula. Kiroba kilipoisha akaondoka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una vituko sana
 
Zikiwa nyingi nitamgaia binamu hiko ulichonunua kitu kizuri used ni nn


...wee naye unakuwa mgeni na mimi jameni, nisiponunua saa mpya basi nanunua simu ya smartphone. ila sasa nimepanda ngazi kidogo, nimenunua Ipad, ni nzuri na nimeshaweka magemu.
 
Nina wasiwasi na namba 5, mbona sasa sikio halikui kuzidi kichwa?[emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugomvi kwangu raha
Unaona sasa kila mtu na starehe yake woiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu kaniquote tu ghafla povu namuuliza ulikuwa unanitafutiaga sababu au thread sio yako sijakuquote alitukana nilitukana mpaka nikaamua kutoka mwenyewe halafu mwanaume sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ukinunua tena kiroba kingine niite nije tule wote
 
Hao hao ndo wakorofi mno,mie sikopeshi tunaenda sawa mpaka uzi unafutwa
 
Wapi huko wanaume wanapodiriki kutukanana na wanawake tena warembo kama weye kungwi wangu?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…