Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,394
- 6,562
Salama tu nmekumissPoa jogoo wa shamba za ww
abj kamkimbia hiyo akupe tu hata ya gari kila siku wimbo wa no
Salama tu nmekumiss
...ha hahhaa, nilimwambia anipe hata ile ya polisi, yaani namba yoyote tu. hata ile ya kitambulisho cha mlipakodi
Hapo ndio anapokosea akupe halafu naomba korosho zangu nitumie hata kwenye bus nikazipokee ubungo
...au ukute ni mzaliwa wa Dar, yaani mlima ule wa UD ndo anaona mrefu sana.
Angekuwa ameshanipa namba saa hizi angekuwa anatembelea kwenye helikoputa kama Mikwara Ya Andunje na kwenye fulaiova pale Tazara anagekuwa na shati jipya la ccm
Binamu usinipoteze kuhusu korosho ujue achana mambo ya no zako na abj
Jukwaa la celebrity limenishinda aisee naingia mara moja sana kwa miezi
...korosho unazotaka mbona ndo tunavuna saa hizi, tena nikikuletea safari hii nakuletea na bibo (mabibo) ule utengeneze local wine
Una raha mno,natamani nami linishinde ila sasa kila kukicha pananoga
Sitakiii mabibo sili mm nasubiria korosho
Lile jukwaa siliwezi mm kutoleana mapovu nje nje kuna siku mtu ghafla tu kaniquote na kuanza kunitukana niljuta kwa nn niliingia nilimjibu weeh badae nikajitokea zangu
nakumbuka mwanzon wakati naanza ingia mule nilipata upinzani mkali eti wewe humu sio fani yako nenda kuleee utadhani wananilipia vocha nikakomaa nao humo humo
Zikiwa nyingi nitamgaia binamu hiko ulichonunua kitu kizuri used ni nn...basi hesabu umepata bila kukosa, tena nyingi unaweza kumgaia hata Numbisa kama bado hajafikia ule umri wa kutafuta nye.ge zinaweza kumuongezea madini ya Zinc.
haya ni mambo ya kitaalamu zaidi, si unanijua binamu yako nilivyo.
oh, nimenunua na kitu kingine kizuri juzi tu, ni kipya sema nilikinunua used.